Sasa kati ya wewe na Mimi yupi aliyemaanisha siasa??Sijataja siasa nimetaja rangi huo consciousness inakujaje kama tunashindwa kutambua jambo dogo kama hiloNimekuelewa, na maanisha ccm,unataka kuleta politics hapa???? Samahani ndugu, sisi hatuko political, tunashughulikia ukombozi was mtu mweusi katika conscious level, ama kiwango Cha ufahamu, ambako tunaamini mzizi wa tatizo ndiko ulipo,ndugu, Soma mada uielewe, usituletee politics kabisa hapa tafadhali
Kama unaziada ni pmSasa kati ya wewe na Mimi yupi aliyemaanisha siasa??Sijataja siasa nimetaja rangi huo consciousness inakujaje kama tunashindwa kutambua jambo dogo kama hilo
Sijaona hata maana ya kukupmKama unaziada ni pm
Jaribu kudadavua neno moja zaidi ya Mara moja ili usipate shida kuelewa michango ya wengine kingine jaribu kupunguza mihemukoTena kwenye jumba la Sanaa, usijifanye msanii, na ulikolalia wewe, wenzio ndio tulikoamkia, shika adabu yako
Ni legend, iliyopokewa vizazi na vizazi....ni Jambo lakujadiliwaHuyo masia MTU mweusi aliwahi kuwepo?
We ulianza na kisirani melkiory ndio Kaka mkuki ukamuudhiJaribu kudadavua neno moja zaidi ya Mara moja ili usipate shida kuelewa michango ya wengine kingine jaribu kupunguza mihemuko
Umesema kweli, lakini binadamu, uelewa tofauti, kila mtu na upeo wakeJaribu kudadavua neno moja zaidi ya Mara moja ili usipate shida kuelewa michango ya wengine kingine jaribu kupunguza mihemuko
Karibuniamshe mimi mkuu
Kisirani kipi???Ameudhika kwa kutoelewa nilichoandikaWe ulianza na kisirani melkiory ndio Kaka mkuki ukamuudhi
i admit that and more wonder those who mastremind that things always wins a lot of followers, feel very curiosI will refer to the power behind the music industry as the machine. Those that operate and control the machine are like ghosts to the masses, but those that have an open third eye are able to see these ghosts. As I have stated in other blogs, if one doesn’t have a thorough knowledge of the occult, they will never fully understand the secret society within the music industry. Some call this secret society the Illuminati and others refer to them as the elite. Whatever name you call them by doesn’t matter, but what does matter is their silent control that they have over the masses without ever being seen.
Ila mzimu wa Mzungu unauabudu, ukiambiwa wa babu yako ugomvi, Yesu ni duni kuliko mzimu, ni sanamu , mdoli na msalaba wake wa mbao mnao abuduHivi kweli kuna haja ya kuamsha mizimu iliyolala ili ipate kutusaidia?
Yaani tumeshindwa kujisaidia mpaka tunaomba msaada kwa visivyojiweza! Ama kweli tumesoma lakini hatujaelimika, sisi wenyewe hatujui nini tunataka, hatujui nini tatizo letu, hatujui nini suluhisho la matatizo yetu, hatuthamini uwezo wetu tuliyokuwa nao, hatujiamini kabisa na hatujui nini lengo na kusudio la maendeleo yetu. Na hakuna wa kutusaidia isipokuwa ni sisi wenyewe. Imani ya dini haihusiani na maendeleo, kwani wahindi wanaabudu ng'ombe lakini wamepiga hatua kimaendeleo, wachina wanaabudu miungu yao nao wamepiga hatua, wazungu nao wengi wakristo nao wamepiga hatua, wayahudi nao wana imani zao nao wamepiga hatua, waarabu nao wengi ni waislamu wamepiga hatua, sisi waafrika ndiyo wenye matatizo, ikiwa hatuwezi kupiga hatua katika maendeleo ya uchumi na viwanda basi japokuwa tuweze kujitosheleza kwa chakula kutokana na ardhi kubwa na yenye rutuba tuliyonayo, hata hivyo utasikia baadhi ya nchi za Afrika zina ukame.
Na hivi bado kuna watu wanaofikiria mizimu kwenye karne hii sayansi na teknolojia?
Anakuuliza, unazungunguka zunguka, si useme unachotaka kusema????Kisirani kipi???Ameudhika kwa kutoelewa nilichoandika
Nisaidie Kaka....asiyeelewa muelimisheRudi FB tuu mkuu
Mijadala ya jf inahitaj watu wenye vifua na uwezo wakufikiri kinyume chake utajikuta unajaa upepo na kukashifu watu sababu ya kutoelewa jamboAnakuuliza, unazungunguka zunguka, si useme unachotaka kusema????
michael jackson alikuwanga more Step forward than them, thats kwa kuwa walimzid kwa % chache walijuanga atakuja kuwaumbua day one wakamuwahi, ndo mana his death up to now obscure, angekuwa yuko hai tungeona mengi kwa hizi mamboMichael Jackson aliuliwa na wayahudi wamiliki wa sonny music company
Kijani Nini???? BangeeeeeMijadala ya jf inahitaj watu wenye vifua na uwezo wakufikiri kinyume chake utajikuta unajaa upepo na kukashifu watu sababu ya kutoelewa jambo
Haswa....Ina maana alipelekwa wakweli kimya kimya baadae ndo tukatangaziwa ule mdoli wa kizungu ndo umekufa[emoji15]
UsiogopeNaona tunatishana naogopa sana mizim mimi