Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
- Thread starter
- #1,201
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

AsanteKupitia Thread hii kuna kitu naomba nichangie kwa mtiririko wake kama ntajaaliwa na Mwenyezimungu,kwanza kabisa ondoa fikra ya mizimu na endelea na imani sahh ya kumtegemea mungu.
Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuhusu boko haram,lakini ule uzi umeshatupwa kwenye jukwaa la dini..sikukusudia kuhamasisha jihadi lakini nilikusudia kuonyesha namna CIA na MOSAD walivyofanikiwa kulipaka matope kundi hilo na kupachika majambazi akina Abubakari Shekau ambae haitwi Abubakari Shekau yaani ni kama Abubakari Baghdadi wa Daesh haitwi abubakari.
Kundi la Boko haram lilianzishwa na Mohammed Yusuf kama iliosajiliwa na serikali ya Naijeria kama Sect..kosa alilofanya hapa duniani ni kutamka kwamba WAZUNGU SIO BINAADAMU KAMA SISI,,akasema wazungu ni biological sons of SATAN...akaandika na kitabu ambacho kilipigwa marufuku na UN..from there Cia wakalipua ubalozi wa UN wa Abuja alafu wakasingizia Boko haram,ikatoka order ya kukamatwa M.YUSUF polisi wakamkamata alafu wakampiga risasi 8 za kifua alafu wakamtupa mtaa wa 2.ntarudi
WapiKwa wale wenye moyo wa dhati kabisa, wakitaka kurejea ibada yetu asilia, please pm me, kuna semina mwezi wa 8, usikose semina hii yenye maombezi maalumu kuvunja minyororo na kukutoa msukuleni fikra, dini na imani
Tayari, vipi upo ngunguli tuanze safari?Amkeni, amkeni, amkeni
Ur african beautyThen wanakuletea picha ya mzungu, alafu wanakwambia eti huyu ni Mungu.....na mimi ni na ni je????? shetani???????
asante sana, mawaidha yako hakika yamezingatiwaNimechelewa kuona uzi huu kwani ni wa siku kadhaa nyuma. sijui kama nilichokiona na kukisoma zaidi ya mara 3 kama nitakuwa nimeelewa vizuri lakini nafikiri mwandishi wa makala is in serious trouble. Kuna ombwe kubwa sana la maarifa hasa kwa sisi waafrika na bahati mbaya tumekosa dira na falsafa ya kutuokoa. kama nimemwelewa vizuri, mwandishi ame-base sana into Afrocentric view katika kunasibu thamani na utu wa mwafrika. yuko sahihi..
Ingawa mambo hayako kama anavyoona na kufikiri. Katika mlengo wa dini, article yake ni illegal and taboo. hali kadhalika, Democrasia nayo inakataza ubaguzi wa aina yoyote. sitaki kuamini kuwa article yake haina hoja...La hasha! Ingawa imekuja wakati usio sahihi. Kabla sijajibu hoja kama mwandishi alivyoziainisha hapo juu...nataka niweke maswali ya kutu-guide huko mbeleni kama ifuatavyo:-
Nimeweka hizo maswali ili kukufikirisha na huenda baadae ukaja na article nzuri zaidi kuhusu maada hapo juu. It's my observation that, black and blacknism is just complex phenomena to deal with. baada ya kusema hayo nirudi kwenye issue za msingi nikijaribu kujibu hoja zako:-
- when you say mweusi did you mean mwafrika?
- Unataka mweusi ajikomboe kutoka kwa nani?
- Why now?
- je article yako inamlenga mtu mweusi wa wapi? anayeishi Europe or Afrika?
(a) whether Mweusi binadamu wa Kwanza? The first and utmost thing is that, there is no proves nor scientific analysis to justify that. kwa maana nyingine, hakuna facts za kutoshereza kuonyesha kuwa Zinjathropus was black. even though, fuvu kukutwa Afrika haimaanishi kuwa Zinja wa Black. Maendeleo ya Binadamu ndo yamegundua kuwepo mabara/continents. Hata Biblia na Quran zinazungumzia watu wa middle east. Hata wakati ule Musa anapokea Amri kumi za Mungu kule milima ya sinai na mitume wengine wote Originate from Middle East. where is Afrika? Forgoten? maybe...just maybe. Historia inaonyesha kuwa binadamu wa kwanza alipatikana ilipo Tanzania ya sasa lakini haijasema kuwa ni mweusi. hivyo basi it's reckless to say the earlier human was black.
(b) whether Mweusi ndo mwanzilishi wa ustaarabu duniani ikiwa ni pamoja na dini? kwenye dini sina uhakika but my conscious tells me kuwa siyo kweli. Dont confuse between religious and culture/way of life of certain people. It's in records kuwa waafrika tuliletewa hizi dini unless mwandishi alimaanisha dini zetu za asili. Islam ilienea Afrika baada ya First contact between arabs and African. before hatukuwa na uislam. the same to Christianity. tulipokea kwa mjibu wa mafundisho/gospel na the rest remain a history. In short, ustaarab wa mwafrika uko questionable..
Kuna Literature zinasema kuwa wazungu walikuja Timbuktu University to learn about civilization and architecture (Engineering) Huenda ni kweli. Lakini swali la Msingi, huyo mzungu alitokea bara gani? karne gani? Labda niseme kuwa mwafrika ana asili yake na ustaarab wake not necessarily huo ulioandikwa kwenye vitabu.
(c) whether mweupe kwa sababu ya wivu na chuki akaleta Sera ya ubaguzi? ..The answer is yes and No. iko hivi, naturally a human being is a racist. hata sisi weusi tunabaguana waziwazi. ubaguzi ni zao la social inequality, race, jelousness, political affiliation, religious etc. ndo maana waislam huwabagua wakristo etc. Remember Cain na Abel? so to conclude, binadamu yeyote alipo ni mbaguzi but tunazidiana viwango tu.
On serious note: Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. tunachagua viongozi wabaya and once they're on power they turn to be tyranny and dictators!..so who to blame? wakati watanzania wananyanyasika huko msumbiji, Magufuli alisema WAPIGWE TU KWANI WANADHARIRISHA NCHI...hapo nani alaumiwe? wakati waarab wanakuja kuchukua watumwa kwa mtutu, baadhi ya machief wenu walishiriki kukamata watu na kuwauza kwa waarab. because of that, bado makovu ya watumwa hayajaisha Duniani. so who to blame?
Mangungo wa Msovero ali-sign mkataba ambao ndo chimbuko la manyanyaso kwa mweusi. je alishikiwa mtutu ku-sign? Maguguli ananyanyasa wapinzani na kuwabagua huku watu wakishangilia na kumpongeza...je naye ni mweupe?
My ADVICE: Tafadhali jikomboe...before it's too late.
Prof
We uko dar kauga???Tayari, vipi upo ngunguli tuanze safari?
Hii ndo JF bhanaNimechelewa kuona uzi huu kwani ni wa siku kadhaa nyuma. sijui kama nilichokiona na kukisoma zaidi ya mara 3 kama nitakuwa nimeelewa vizuri lakini nafikiri mwandishi wa makala is in serious trouble. Kuna ombwe kubwa sana la maarifa hasa kwa sisi waafrika na bahati mbaya tumekosa dira na falsafa ya kutuokoa. kama nimemwelewa vizuri, mwandishi ame-base sana into Afrocentric view katika kunasibu thamani na utu wa mwafrika. yuko sahihi..
Ingawa mambo hayako kama anavyoona na kufikiri. Katika mlengo wa dini, article yake ni illegal and taboo. hali kadhalika, Democrasia nayo inakataza ubaguzi wa aina yoyote. sitaki kuamini kuwa article yake haina hoja...La hasha! Ingawa imekuja wakati usio sahihi. Kabla sijajibu hoja kama mwandishi alivyoziainisha hapo juu...nataka niweke maswali ya kutu-guide huko mbeleni kama ifuatavyo:-
Nimeweka hizo maswali ili kukufikirisha na huenda baadae ukaja na article nzuri zaidi kuhusu maada hapo juu. It's my observation that, black and blacknism is just complex phenomena to deal with. baada ya kusema hayo nirudi kwenye issue za msingi nikijaribu kujibu hoja zako:-
- when you say mweusi did you mean mwafrika?
- Unataka mweusi ajikomboe kutoka kwa nani?
- Why now?
- je article yako inamlenga mtu mweusi wa wapi? anayeishi Europe or Afrika?
(a) whether Mweusi binadamu wa Kwanza? The first and utmost thing is that, there is no proves nor scientific analysis to justify that. kwa maana nyingine, hakuna facts za kutoshereza kuonyesha kuwa Zinjathropus was black. even though, fuvu kukutwa Afrika haimaanishi kuwa Zinja wa Black. Maendeleo ya Binadamu ndo yamegundua kuwepo mabara/continents. Hata Biblia na Quran zinazungumzia watu wa middle east. Hata wakati ule Musa anapokea Amri kumi za Mungu kule milima ya sinai na mitume wengine wote Originate from Middle East. where is Afrika? Forgoten? maybe...just maybe. Historia inaonyesha kuwa binadamu wa kwanza alipatikana ilipo Tanzania ya sasa lakini haijasema kuwa ni mweusi. hivyo basi it's reckless to say the earlier human was black.
(b) whether Mweusi ndo mwanzilishi wa ustaarabu duniani ikiwa ni pamoja na dini? kwenye dini sina uhakika but my conscious tells me kuwa siyo kweli. Dont confuse between religious and culture/way of life of certain people. It's in records kuwa waafrika tuliletewa hizi dini unless mwandishi alimaanisha dini zetu za asili. Islam ilienea Afrika baada ya First contact between arabs and African. before hatukuwa na uislam. the same to Christianity. tulipokea kwa mjibu wa mafundisho/gospel na the rest remain a history. In short, ustaarab wa mwafrika uko questionable..
Kuna Literature zinasema kuwa wazungu walikuja Timbuktu University to learn about civilization and architecture (Engineering) Huenda ni kweli. Lakini swali la Msingi, huyo mzungu alitokea bara gani? karne gani? Labda niseme kuwa mwafrika ana asili yake na ustaarab wake not necessarily huo ulioandikwa kwenye vitabu.
(c) whether mweupe kwa sababu ya wivu na chuki akaleta Sera ya ubaguzi? ..The answer is yes and No. iko hivi, naturally a human being is a racist. hata sisi weusi tunabaguana waziwazi. ubaguzi ni zao la social inequality, race, jelousness, political affiliation, religious etc. ndo maana waislam huwabagua wakristo etc. Remember Cain na Abel? so to conclude, binadamu yeyote alipo ni mbaguzi but tunazidiana viwango tu.
On serious note: Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. tunachagua viongozi wabaya and once they're on power they turn to be tyranny and dictators!..so who to blame? wakati watanzania wananyanyasika huko msumbiji, Magufuli alisema WAPIGWE TU KWANI WANADHARIRISHA NCHI...hapo nani alaumiwe? wakati waarab wanakuja kuchukua watumwa kwa mtutu, baadhi ya machief wenu walishiriki kukamata watu na kuwauza kwa waarab. because of that, bado makovu ya watumwa hayajaisha Duniani. so who to blame?
Mangungo wa Msovero ali-sign mkataba ambao ndo chimbuko la manyanyaso kwa mweusi. je alishikiwa mtutu ku-sign? Maguguli ananyanyasa wapinzani na kuwabagua huku watu wakishangilia na kumpongeza...je naye ni mweupe?
My ADVICE: Tafadhali jikomboe...before it's too late.
Prof
Rafiki am missing you!!Hii ndo JF bhana
Hapana, kwasasa nipo Lindi.We uko dar kauga???
Respect mkuuNimechelewa kuona uzi huu kwani ni wa siku kadhaa nyuma. sijui kama nilichokiona na kukisoma zaidi ya mara 3 kama nitakuwa nimeelewa vizuri lakini nafikiri mwandishi wa makala is in serious trouble. Kuna ombwe kubwa sana la maarifa hasa kwa sisi waafrika na bahati mbaya tumekosa dira na falsafa ya kutuokoa. kama nimemwelewa vizuri, mwandishi ame-base sana into Afrocentric view katika kunasibu thamani na utu wa mwafrika. yuko sahihi..
Ingawa mambo hayako kama anavyoona na kufikiri. Katika mlengo wa dini, article yake ni illegal and taboo. hali kadhalika, Democrasia nayo inakataza ubaguzi wa aina yoyote. sitaki kuamini kuwa article yake haina hoja...La hasha! Ingawa imekuja wakati usio sahihi. Kabla sijajibu hoja kama mwandishi alivyoziainisha hapo juu...nataka niweke maswali ya kutu-guide huko mbeleni kama ifuatavyo:-
Nimeweka hizo maswali ili kukufikirisha na huenda baadae ukaja na article nzuri zaidi kuhusu maada hapo juu. It's my observation that, black and blacknism is just complex phenomena to deal with. baada ya kusema hayo nirudi kwenye issue za msingi nikijaribu kujibu hoja zako:-
- when you say mweusi did you mean mwafrika?
- Unataka mweusi ajikomboe kutoka kwa nani?
- Why now?
- je article yako inamlenga mtu mweusi wa wapi? anayeishi Europe or Afrika?
(a) whether Mweusi binadamu wa Kwanza? The first and utmost thing is that, there is no proves nor scientific analysis to justify that. kwa maana nyingine, hakuna facts za kutoshereza kuonyesha kuwa Zinjathropus was black. even though, fuvu kukutwa Afrika haimaanishi kuwa Zinja wa Black. Maendeleo ya Binadamu ndo yamegundua kuwepo mabara/continents. Hata Biblia na Quran zinazungumzia watu wa middle east. Hata wakati ule Musa anapokea Amri kumi za Mungu kule milima ya sinai na mitume wengine wote Originate from Middle East. where is Afrika? Forgoten? maybe...just maybe. Historia inaonyesha kuwa binadamu wa kwanza alipatikana ilipo Tanzania ya sasa lakini haijasema kuwa ni mweusi. hivyo basi it's reckless to say the earlier human was black.
(b) whether Mweusi ndo mwanzilishi wa ustaarabu duniani ikiwa ni pamoja na dini? kwenye dini sina uhakika but my conscious tells me kuwa siyo kweli. Dont confuse between religious and culture/way of life of certain people. It's in records kuwa waafrika tuliletewa hizi dini unless mwandishi alimaanisha dini zetu za asili. Islam ilienea Afrika baada ya First contact between arabs and African. before hatukuwa na uislam. the same to Christianity. tulipokea kwa mjibu wa mafundisho/gospel na the rest remain a history. In short, ustaarab wa mwafrika uko questionable..
Kuna Literature zinasema kuwa wazungu walikuja Timbuktu University to learn about civilization and architecture (Engineering) Huenda ni kweli. Lakini swali la Msingi, huyo mzungu alitokea bara gani? karne gani? Labda niseme kuwa mwafrika ana asili yake na ustaarab wake not necessarily huo ulioandikwa kwenye vitabu.
(c) whether mweupe kwa sababu ya wivu na chuki akaleta Sera ya ubaguzi? ..The answer is yes and No. iko hivi, naturally a human being is a racist. hata sisi weusi tunabaguana waziwazi. ubaguzi ni zao la social inequality, race, jelousness, political affiliation, religious etc. ndo maana waislam huwabagua wakristo etc. Remember Cain na Abel? so to conclude, binadamu yeyote alipo ni mbaguzi but tunazidiana viwango tu.
On serious note: Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. tunachagua viongozi wabaya and once they're on power they turn to be tyranny and dictators!..so who to blame? wakati watanzania wananyanyasika huko msumbiji, Magufuli alisema WAPIGWE TU KWANI WANADHARIRISHA NCHI...hapo nani alaumiwe? wakati waarab wanakuja kuchukua watumwa kwa mtutu, baadhi ya machief wenu walishiriki kukamata watu na kuwauza kwa waarab. because of that, bado makovu ya watumwa hayajaisha Duniani. so who to blame?
Mangungo wa Msovero ali-sign mkataba ambao ndo chimbuko la manyanyaso kwa mweusi. je alishikiwa mtutu ku-sign? Maguguli ananyanyasa wapinzani na kuwabagua huku watu wakishangilia na kumpongeza...je naye ni mweupe?
My ADVICE: Tafadhali jikomboe...before it's too late.
Prof
OkHapana, kwasasa nipo Lindi.
Historia hujirudia mara moja, mara ya pili ni kejeliMangungo wa Msovero ali-sign mkataba ambao ndo chimbuko la manyanyaso kwa mweusi. je alishikiwa mtutu ku-sign? Maguguli ananyanyasa wapinzani na kuwabagua huku watu wakishangilia na kumpongeza...je naye ni mweupe?