little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Bila shaka mkuu ni muda wa sisi kuamkaMengi yamefichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka mkuu ni muda wa sisi kuamkaMengi yamefichwa
Yes of course,Are you serious?
Katika hili sikubaliani na wewe kabisa wala sikubaliani na hao walioandika hii historia. Mtu tajiri kuliko wote ambaye amewahi kuishi hapa duniani ni Mfalme Suleiman peke yake. Huyu ndiye alikuwa tajiri kuliko wote na haitatokea tena mtu akafikia utajiri wa Suleiman. Mansa Musa I alikuwa tajiri ndiyo lakini utajiri wake haukufikia hata robo ya ule wa Mfalme Suleiman.Himaya ya Mali ilikuwa chini ya utawala wa mtu aliyepata kuwa tajiri katika historia ya mwanadamu aliyepata kuishi hapa duniani Mansa Musa I,
Pm meYes of course,
Huyu mtu puumbavu sana, hajui Solomon never existed, ni mwigo wa mansa kankan Musa, hajui katika duru za wanataaluma, biblia ni mkusanyiko wa ngano za wayahudi, not history....maiti za mafarao maelfu ya miaka kabla ya kuweko vishetani vinaitwa Israeli zimechimbuliwa na kuthibitisha...wapi ushahidi was mhusika yeyote wa biblia, uwongo wote na kughushiKatika hili sikubaliani na wewe kabisa wala sikubaliani na hao walioandika hii historia. Mtu tajiri kuliko wote ambaye amewahi kuishi hapa duniani ni Mfalme Suleiman peke yake. Huyu ndiye alikuwa tajiri kuliko wote na haitatokea tena mtu akafikia utajiri wa Suleiman. Mansa Musa I alikuwa tajiri ndiyo lakini utajiri wake haukufikia hata robo ya ule wa Mfalme Suleiman.
Tupe evidence yoyote ile ya Suleimani wa bibliaKatika hili sikubaliani na wewe kabisa wala sikubaliani na hao walioandika hii historia. Mtu tajiri kuliko wote ambaye amewahi kuishi hapa duniani ni Mfalme Suleiman peke yake. Huyu ndiye alikuwa tajiri kuliko wote na haitatokea tena mtu akafikia utajiri wa Suleiman. Mansa Musa I alikuwa tajiri ndiyo lakini utajiri wake haukufikia hata robo ya ule wa Mfalme Suleiman.
Ndio we kauga kweli, ama feki?? Make skuhiz skuelewi elewi hivi!!!!!!Kiaje
Fika kwenye hekalu lako la ibada asilia utafundishwa yoteMimi nna hoji sababu nnataka kuelewa ,sasa kama Binadamu ni Mzimu ulio Hai na anapo Fariki anakuwa Mzimu kamili ipi ni Nafasi ya Mungu anae Hubiriwa ktk Imani hizi mbili kubwa ?...
Uzi ukifungiwa utawapoteza walimu was kukusaidia ujitambueUtaaribu uzi wako kuleta mambo ya jiwe humu. Bora ufungiwe uzi huu
CIAPumbavu sana wamarekani! Mpaka leo hawawajui wauaji!
Soma historia ya Waethiopia nje ya Biblia na utaona kuna vitabu kibao vinasema kuhusu Solomon na Queen of Sheba. Hata kwa wale waliobahatika kutembelea Ethiopia kuna mengi sana yanathibitisha uwepo wa historia hii.Huyu mtu puumbavu sana, hajui Solomon never existed, ni mwigo wa mansa kankan Musa, hajui katika duru za wanataaluma, biblia ni mkusanyiko wa ngano za wayahudi, not history....maiti za mafarao maelfu ya miaka kabla ya kuweko vishetani vinaitwa Israeli zimechimbuliwa na kuthibitisha...wapi ushahidi was mhusika yeyote wa biblia, uwongo wote na kughushi
Soma historia ya Waethiopia nje ya Biblia na utaona kuna vitabu kibao vinasema kuhusu Solomon na Queen of Sheba. Hata kwa wale waliobahatika kutembelea Ethiopia kuna mengi sana yanathibitisha uwepo wa historia hii.Tupe evidence yoyote ile ya Suleimani wa biblia
Asante Sana Gamba, Sasa tunaanza kwenda vizuri....Soma historia ya Waethiopia nje ya Biblia na utaona kuna vitabu kibao vinasema kuhusu Solomon na Queen of Sheba. Hata kwa wale waliobahatika kutembelea Ethiopia kuna mengi sana yanathibitisha uwepo wa historia hii.
Hii inatosha kuthibitisha kuwa Mfalme Suleiman alikuwepo. Habari za Suleiman hazijaandikwa kwenye Biblia tu.
Wewe ni msukule unaeishiHuyu mtu puumbavu sana, hajui Solomon never existed, ni mwigo wa mansa kankan Musa, hajui katika duru za wanataaluma, biblia ni mkusanyiko wa ngano za wayahudi, not history....maiti za mafarao maelfu ya miaka kabla ya kuweko vishetani vinaitwa Israeli zimechimbuliwa na kuthibitisha...wapi ushahidi was mhusika yeyote wa biblia, uwongo wote na kughushi
HahahaNdio we kauga kweli, ama feki?? Make skuhiz skuelewi elewi hivi!!!!!!
Wameshaku Michael Jackson vipi??????? Make dunia skuhizi haiaminiki!!!!!Hahaha
AsanteSoma historia ya Waethiopia nje ya Biblia na utaona kuna vitabu kibao vinasema kuhusu Solomon na Queen of Sheba. Hata kwa wale waliobahatika kutembelea Ethiopia kuna mengi sana yanathibitisha uwepo wa historia hii.
Hii inatosha kuthibitisha kuwa Mfalme Suleiman alikuwepo. Habari za Suleiman hazijaandikwa kwenye Biblia tu.