kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,503
- 2,078
Hapana chief ni mimi halisi.Wameshaku Michael Jackson vipi??????? Make dunia skuhizi haiaminiki!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana chief ni mimi halisi.Wameshaku Michael Jackson vipi??????? Make dunia skuhizi haiaminiki!!!!!
mhhhHapana chief ni mimi halisi.
Vip fantasiamhhh
kauga sku Hiz katuwachaVip fantasia
Hapana, jasili haachi asilikauga sku Hiz katuwacha
Haya tunashukuru, kama ungalipo nasiHapana, jasili haachi asili
Chunguza videvu pia, huyu fake ana w chin....Mjadala wa michael, tushafunga, ni hiari ya mtu kukubali ama kukataa
Tangu lini mtu aongezeke urefu? Maiti ya Michael wa 2009 haiko urefu Saw a na Michael wa 1984View attachment 811514 View attachment 811514
Am in the inner circleHaya tunashukuru, kama ungalipo nasi
Acha kupotosha wati wewe Jesuist ni nini?Kuna kitu kinaitwa Jesuits mkuu hawa watu ni balaa, nadhani mipango yote ya dunia hii ipo mikononi mwao.
Umejuaje kama napotosha? Kama kitu hujui uliza..!Acha kupotosha wati wewe Jesuist ni nini?
Kuna watu huu uzi unawakwaza imani zaoUmejuaje kama napotosha? Kama kitu hujui uliza..!
Wengi hawajui tu jesuits ikiwa chini ya black pope,ndiyo wana icontrol dunia kupitia Vatican.Kuna watu huu uzi unawakwaza imani zao
is it black pope, au ni sect ya wayahudi ndani ya Vatican??? Tena makomando na wauaji???Wengi hawajui tu jesuits ikiwa chini ya black pope,ndiyo wana icontrol dunia kupitia Vatican.