Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Na usome uzi kwa makini please
th (89).jpeg
th (88).jpeg
th (86).jpeg
 
Karibu mkuu hearly hata wewe itapendeza sana kama utaupoke huu WOKOVU kutoka kwa YESU KRISTO ili ile siku atakapokuja tena duniani hata kama tutakuwa tumekufa, atatufufua na kutukaribisha katika Ufalme wa MUGNU wa milele. Huko tutakula raha ya milele isiyokuwa na mwisho, tutakula raha sana. Fahamu kwamba Ufalme huu utakuwa hapa hapa duniani na makao makuu yake yatakuwa Jerusalem na dunia yote itakuwa kama Paradiso, kama Bustani ya Eden!

Uiiache hii nafasi ikakupita, wakati ni sasa wa wewe kuchukua maamuzi magumu, wengi watakucheka na kukudharau sasa hivi lakini baadaye wewe ndiye utakayecheka na kufurahi(who laughs last, laughs longest). Maisha uliyopewa hapa duniani ni ili ujiandae kwa ajili ya Ufalme wa MUNGU unaokuja. Muda uliopewa ni mdogo sana, jiulize ni wangapi walikuwepo na leo hawapo?? Usiupoteze muda wako kwa vitu viharibikavyo. YESU KRISTO ndiyo jibu, kweli na njia ya uzima wa milele.
Mkuu nimekufatilia kwa umakini sana na nimekuelewa vema hivi Daniel 11:41-45 hii kitu naomba unisaidie ufafanuzi wake..
 
Sometimes hua naangalia hii system ya maisha tunayoishi wanadamu. Naona kuna kitu hakiendi sawa kabisa. Naamini katika Mungu na Yesu kristo lakini naona HUU MUUNDO WA MAISHA TUNAYOISHI WANADAMU WOTE TOKA KUZALIWA HADI KUFA ndio tunatakiwa tuishi hivi? Nadhani kunawatu walikaa chini wakaunda mfumo wotee huu tunaoishi leo kwa manufaa yao binafsi na Sio mpango wa Mungu. Nikifikiria hayo nakua desperated sana sana nawaza kuhusu ulimwengu unavyoendeshwa kwa siri huku adui mkubwa akiwa Black Man. Nabakia tu kumshukuru Mungu kwa kunileta duniani nione Ukuu wake. But real am so Sad kwa yanayoendelea nyuma ya Pazia.
Nimekuelewa sanaa mkuu.. Uwa naishia kumshukuru Mungu ukichunguza kwa undani kabisaa hii system imetengenezwa siafiki kama Mungu mkuu ana upendeleo wote tuko Sawa kwake
 
Nani kakuambia Biblia imeandikwa na MUNGU?

Biblia haijaandikwa na MUNGU kwa mkono wake, isipokuwa kilichoandikwa ni NENO la MUNGU. MUNGU aliongea na Manabii na akawaagiza waandike na wao wakaandika yale waliyoyasikia kutoka kwa MUNGU. Na vitabu vingine kwenye Biblia ni historia, lakini ni historia yenye kufundisha NENO la MUNGU. Biblia imegawanyika, kuna Unabii, historia, na INJILI.
Kinachoshangaza zaidi ambacho kinaniweka njia panda kuna baadhi ya vitabu havikujumuishwa katika hiyo biblia na kusemekana havina umuhimu kibaya zaidi tumeaminishwa vya uongo Ila kuna mtume amenukuu hapa huwa napata ukakasi kuna kitu kimefichwa
 
Kinachoshangaza zaidi ambacho kinaniweka njia panda kuna baadhi ya vitabu havikujumuishwa katika hiyo biblia na kusemekana havina umuhimu kibaya zaidi tumeaminishwa vya uongo Ila kuna mtume amenukuu hapa huwa napata ukakasi kuna kitu kimefichwa
Mengi yamefichwa
 
Back
Top Bottom