Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Swali sijalielewa....binafsi
 
Nataka ni google hii issue!
Ipo kwenye Deep Web, hutoipata kwa Google...kwa ufupi kuna classified info huwezi kuzipata popote kwenye Surface Internet (internet tunayotumia, public) ila zinapatikana kwenye Deep Web...baadhi ya Browser za kufukunyua Deep Web ni Tor Browser. Pia lazima computer yako uifanyie configuration...lazima uwe mtaalamu kidogo au uilete kwa wataalmu wa Networks & Configuration.
 
Mleta Mada nakuelewa vzr,ila nataka unieleweshe vzr ,kuna Uzi humu ulikua unasema na unasisitiza kuwa Yesu Masiah ni MTU mweusi ,lkn Leo unasema Masiah ni wakufikirika sasa nashindwa kuelewa vzr hapa
Huyo, mweupe, ni feki, wa kufikirikaw, masia, kama dhana ni ya mtu mweusi, usijali, usijali tutatoa mafunzo yote hapa
 
Asante
 
Watu hawajui, kuna spirits zinawekwa na rituals hufanywa kabla hata musics haijaachiwa kwa media. And mbali zaidi ni subliminal msg ndani yao....

Hizi occult things zinafanywa tena na watu wakubwa tu
 
Nikitumia VPN ambayo inanipeleka kufungua site za deep web vipi naweza kupata hy kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…