Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

VPN si chochote kwa Depp Web. Inatumika kwenye Public Internet tuuu (surface web). Nenda Wikipedia usome, usizoee Google tuuu Google tuu. Soma Wikileaks, Wikipedia, etc
Huwa nasoma baadhi ya links through VPN ,huko huko deep web
 
nasemaga kila siku mtu mweusi ndio kila kitu,ukitokea muujiza wa kuweka ukuta baina ya ulaya uarabuni na afrika watu watastaajabu.tatizo tumefunikwa sana,kila siku wanawaza kutumaliza ila mdogo mdogo tutaamka,msichoke tupo nyuma yenu.
 
View attachment 806225 huyu sio Michael JacksonView attachment 806227 hahaha, yaani mtu, kachongwa kabisa kama kinyago????, Huyu si o Michael Jackson
View attachment 806225 huyu sio Michael JacksonView attachment 806227 hahaha, yaani mtu, kachongwa kabisa kama kinyago????, Huyu si o Michael Jackson
je zile habari za Mj kwamba aliamua kufanya plastic surgery ili afanane na diane ross kwa kuwa alikuwa ana mpenda sana huyu dada ni zakweli?
 
Hii ni habari nzuri sana japo haijafafanuliwa ipaswavyo. Kuna ukweli usiosemwa wazi ila uongo ndo unasambazwa! Mfano... ebu nakuja kwanza. ...
 
Hapo kwa yesu masia hapo!
Jikite kwenye hoja tu! Usiingilie IMANI za watu
 
Siku hizi wanawekewa Vionjo fulani vinavyoufanya Ubongo eitha uwe kwenye Huzuni, hasira, hofu, FURAHA au hali yeyote........!! kwenye Vionjo vya Furaha Mtu akiwa kwenye Mfano Ngoma humpanda Mdadi mpaka hufikia kuchimba shimo, kukata Mauno kusikofaa au kupagawa anapocheza hiyo ngoma yenye vionjo(Power behind the Music)
 
Tahadhali!...dunia ina wanaojua na kukaa kimya,wasiojua na kukaa kimya,wanaojua na wasiokaa kimya,wasiojua na wasiokaa kimya,wasiojua kama wanajua na kukaa kimya,wasiojua kama wanajua na wasiokaa kimya....kama kundi lako halipo,rudia tena kusoma.
 
acha ujinga,yesu ni mtu wa kusadikika aliyetengenezwa na warumi
there was never jesus
 
nimeshaanguka kwenye penzi na wewe
hii ndio akili itakayomkomboa msukule mweusi anayeamini upuuzi wa biblia na quran
 
acha ujinga,yesu ni mtu wa kusadikika aliyetengenezwa na warumi
there was never jesus
Kwa hiyo Yesu Masiah hakuwahi kuwepo na wala hakua MTU mweusi? Km baadhi ya wachangiaji humu JF ,wamewahi kuchangia?
 
Mambo ni [emoji91] OK tutakuwa tukijadii fundishana tuu bila kuchukua hatua maana Mada Kama hizi nyingi Sana tumekuwa Tukizisikia PIA kuzijadili Ila hakuna kinachofanyika, MY QUESTION TO YOU ALL TUNASUBIRI AJE HATUA ACHUKUE KILA SIKU TUTAJADILI TUUUU
 
acha ujinga,yesu ni mtu wa kusadikika aliyetengenezwa na warumi
there was never jesus
Kwako wewe YESU ni ujinga, lakini kwetu sisi YESU KRISTO ni NJIA KWELI NA UZIMA WA MILELE. Bahati nzuri sana NENO la KWELI la MUNGU lilishatuambia kwamba watu kama ninyi mtatokea na kuikana ile KWELI. Mimi sishangai hata kidogo ukisema hayo unayosema sababu BIBLIA iliandika habari za watu kama wewe.

Upinge, ukatae; YESU KRISTO ni BWANA WA MABWANA NA MFALME WA WAFALME na atakuja tena duniani "kuusimika" Ufalme wa MUNGU na kuleta uhukumu ya kweli na haki, na siku hiyo utapiga magoti mbele yake huku ukilia na kusaga meno. Amini nakuambia nyabhingi siku hiyo utakumbuka maneno yangu.
 
Kwa hiyo Yesu Masiah hakuwahi kuwepo na wala hakua MTU mweusi? Km baadhi ya wachangiaji humu JF ,wamewahi kuchangia?
yesu anayeelezwa kwenye biblia hajawahi kuwepo
yeshua hamashiach alikuwepo na alikuwa black,huyu alikuwa ni freedom fighter,the soldier aliyepambana na utawala wa warumi pale canaan..
your bible jesus is a fable..throw him in garbage bin
 
rubbish
Matthew 16:28 King James Version (KJV)
28 Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom.

hapa your man god jesus hakudanganya?
hivi unaweza kuniambia kuna mwandishi yoyote aliyeandika kuhusu yesu wako zaidi ya biblia yako iliyochongwa na warumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…