Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

ukweli anaujua Debby Rowe mwenyewe "" but hilo haliwezi kuhalalisha kwamba "" .eti mj " alikufa 1984 na yule aliyekufa 2009 hakuwa mwenyewe" hali halalishi hata kidogo "" kati Yetu ninani Mwenye Uhakika " wa kuwa MJ alikuwa ana nguvu za uzazi "" ... tunajua kweli kuwa wazungu na waarabu hawatupendi " kama kweli waliweza kuwaasi mababu zetu "" unadhani walishindwa vipi kumuhasi MJ Na kumsababishia kukosa uzazi "...mimi nadhani hiyo kesi ya Watoto wake ilipaswa kutazamwa kwa jicho hili"" na sio eti kwamba Michael jackson hakuwa mwenyewe "".. Aiseee nitakuwa wa mwisho duniani kuamini
kwa ni ni ma Dr walikataa kusaini hati ya kifo?
 
kwa ni ni ma Dr walikataa kusaini hati ya kifo?
kwa sbabu walikuwa wanahitaji uchunguzi wa maiti ya MJ ufanyike zaidi "" ...wakati dunia iliaminishwa kuwa MJ alikufa kwaajili ya kuzidisha matumizi ya vidonge vya kupata usingizi" etc ..wao walikuwa wanaamini kwamba MJ he was poisoned ...
 
ddduuhh wewe Jamaa kweli ni msukule " Israel inakuhusu nini sasa "" wewe "!? mbona haurefushi upeo wako vyema iliupate kutambua kuwa umepigwa brain wash "...
Mkuu kupitia Israeli, mataifa yote yameokolewa kutoka kwenye dhambi ya mauti. BWANA MUNGU alimleta MESSIAH duniani kupitia kwa Wayahudi ambao ni wana wa Israeli na kila aaminiye anapata WOKOVU. Huo ndiyo UKWELI na hakuna ukweli mwingine wowote ule zaidi ya huo.

Yeyote anayewachukia Wayahudi ni Shetani, sababu shetani mwenyewe anajua wazi kwamba MUNGU amewatumia Wayahudi kuwaokoa Wanadamu kupitia kwa YESU KRISTO ambaye alizaliwa kama Myahudi. Kwa kuwa Shetani alishindwa kufanya vita na YESU KRISTO, sasa anafanya vita na Wayahudi na wale wote wanaoupokea WOKOVU kutoka kwa YESU KRISTO.

Mwenye masikio na asikie!
 
hahaha wewe jamaaa bwana ""Asante kwa mahubiri "".. hata hivyo imani yako pia iheshimiwe " maana kila MTU anahaki ya kuabudu kile anachoona kitampatia manufaa""...
 
kwa sbabu walikuwa wanahitaji uchunguzi wa maiti ya MJ ufanyike zaidi "" ...wakati dunia iliaminishwa kuwa MJ alikufa kwaajili ya kuzidisha matumizi ya vidonge vya kupata usingizi" etc ..wao walikuwa wanaamini kwamba MJ he was poisoned ...
Kumbe?
 
hahaha wewe jamaaa bwana ""Asante kwa mahubiri "".. hata hivyo imani yako pia iheshimiwe " maana kila MTU anahaki ya kuabudu kile anachoona kitampatia manufaa""...
Karibu mkuu hearly hata wewe itapendeza sana kama utaupoke huu WOKOVU kutoka kwa YESU KRISTO ili ile siku atakapokuja tena duniani hata kama tutakuwa tumekufa, atatufufua na kutukaribisha katika Ufalme wa MUGNU wa milele. Huko tutakula raha ya milele isiyokuwa na mwisho, tutakula raha sana. Fahamu kwamba Ufalme huu utakuwa hapa hapa duniani na makao makuu yake yatakuwa Jerusalem na dunia yote itakuwa kama Paradiso, kama Bustani ya Eden!

Uiiache hii nafasi ikakupita, wakati ni sasa wa wewe kuchukua maamuzi magumu, wengi watakucheka na kukudharau sasa hivi lakini baadaye wewe ndiye utakayecheka na kufurahi(who laughs last, laughs longest). Maisha uliyopewa hapa duniani ni ili ujiandae kwa ajili ya Ufalme wa MUNGU unaokuja. Muda uliopewa ni mdogo sana, jiulize ni wangapi walikuwepo na leo hawapo?? Usiupoteze muda wako kwa vitu viharibikavyo. YESU KRISTO ndiyo jibu, kweli na njia ya uzima wa milele.
 
hahaha ...wapiiii "mkuu "mimi nikotofauti huwa sifungamani na hizo imani kabisaa... wala sihitaji kuzisogelea "" tuendelee tu kuheshimu Mawazo ya watu na imani zao ..maana suala la imani lipo chini ya mamlaka ya MTU "" hupaswi kumlazimisha mtu au kumuamulia kuwa kwenye imani ambayo wewe upo nayo "".. kwahiyo naheshimu Mawazo yako
 
hahaha fantasia bwana"" ..nadhani wajua kuwa MJ alibadilisha muonekano wa ngozi yake " baada ya kuugua ugonjwa wa vitiligo "" ...!?
Michael Jackson (29 Agosti 1958 – 25 Juni 2009) alikuwa mwanamuziki na mburudishaji wa Kimarekani ambaye ametumia zaidi ya miaka arobaini katika jicho la umma, kwanza akiwa kama nyota mtoto akiwa na kundi zima la The Jackson 5, kishaa badaaye kama msanii wa kujitegemea. Kuanzia katikati mwa miaka ya 1980 imekuwa wazi kwamba mwonekano wa Jackson ulikuwa unabadilika bila kificho. Ngozi ya mwili wake imeanza kupauka, pua na umbo la sura yake imebadilika, na kapoteza uzito.

Ile hali ya mpauko wa ngozi awali ulisababishwa na vitiligo na lupus (ugonjwa wa ngozi ambao tiba yake ni tata) — ambao Jackson alijaribu kuutibia kunako mwaka wa 1986—na matumizi yake ya vipodozi mbalimbali ili kuficha madoa yake ya mwilini.[1]Baadhi ya madaktari wa upasuaji wamekisia ya kwamba pia alifanya "rhinoplasty" (upasuaji wa pua), kuinua paji la uso, upasuaji na usawazishaji wa kidevu, na kabadilisha vilevile midomo yake.[2] Hayo yote ya karibu yanakadiliwa kufanywa na mwimbaji huyo kunako miaka ya 1990, amepitia karibia michakato kumi ya kubadili umbo lake.[1]

Jackson na baadhi ya ndugu zake walisema ya kwamba walikuwa wakinyanyasika sana kimwili na kihisia na baba yao, na mwaka wa 2003, alikubali kwamba alikuwa akimchapa viboko sana Jackson wakati yu mtoto.[3]Jackson hapendi kabisa kulizungumzia hili, lakini pindi tu anapolisema, anakuwa na huzuni sana na kusema ya kwamba angetapika kabla ya kukutana na baba'ke. Madaktari wanasema alikuwa na matatizo ya maumivu ya mwili. Deepak Chopra, daktari na rafiki wa karibu Jackson kwa karibia miaka 20, amesema: "Kilichokuwa shurutisho kwake ni hali ya kufanya upasuaji uliokuwa a hali ya kujibalisha mwenyewe, hali ambayo dhahiri ni kutojiheshimu au kujikubali wewe kama wewe."[4]

Wakati fulani katika miaka ya 1990, ilionekana ya kwamba Jackson amekuwa tegemezi kubwa la madawa mbalimbali, hasa dawa za kuua maumivu na na vipoozeo vikalivikali, na afya yake ikaanza kuyumba waziwazi. Ameenda kujiswafi kunako mwaka wa 1993 kwa msaada wa Elizabeth Taylorna Elton John,[5] lakini ulevi wa dawa ulibaki palepale. Amefariki kwa mshtuko wa moyo kunako tar. 25 Juni 2009.
 
Back
Top Bottom