Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,435
- 4,245
Aisee imenilazimu kwenda kutafuta japo cha kusoma (sio ukweli), maana naamini ukweli upo moyoni mwangu na si kwa mtu mwengine,..
Hii story ya kuwa kuna michael jackson wa ukweli na feki/frank jespin... Imeandikwa na kuelezwa na watu wengi... Waandishi wengi wameiandika kwenye mitandao tena si mwaka huu nyingine ni karibu miaka minne iliyopita... Na wengi wanadai kuwa alikufa kwenye tukio la ajali ya moto wakati anatengeneza tangazo la pespi.. Hapa inadaiwa kwamba aliungua vibaya sehemu ya kichwa na uso na maeneo mengine mwilini mwake,, hivyo kutokana na hilo haikuwa rahisi kwake yeye kupona baada ya ajali hiyo ya moto... Waandishi wameenda mbali na kusema kuwa hili limetokea si kwa bahati Mbaya bali ni makusudi, na ilichangiwa na mafanikio makubwa aliyoyapata michael jackson katika kipindi kifupi... Kwani ilimchukua miezi kadhaa tu kuchukua tuzo karibu 7 za grammy... Hivyo wazungu wengi hawakulipenda hilo... Pia mwandishi ameonesha pia kama kulikuwa na dalili za uhasama kati ya kampuni ya pepsi na cocacola... Sote tunajua kwenye masuala ya matangazo ya biashara pale unapomtumia msanii ama mtu maarufu duniani kutangaza biashara yako... Huwa inachangia kwa kiasi kikubwa sana biashara kwenda vizuri, na kuna sehemu inaonyesha michael alishawahi kuwa na mazungumzo na kampuni ya cocacola kwa ajili ya kuandaa Tangazo katika kipindi hicho hicho...
MWISHO WA SIKU YEYE MICHAEL JACKSON NDIYE MWENYE KUUJUA UKWELI WA YOTE HAYA...
Pia kuna ambao wanasema kwamba michael jackson alifariki kwenye nyumba ya mwanasheria, ambaye ni rafiki yake... Na maiti yake ilizikwa kimya kimya...
Angalizo: KUNA MUDA HUWA SIYAAMINI HATA MANENO YANGU... MAANA SIIJUI KWELI HASA NI NINI MAANA YAKE...