Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidie

Aisee imenilazimu kwenda kutafuta japo cha kusoma (sio ukweli), maana naamini ukweli upo moyoni mwangu na si kwa mtu mwengine,..
Hii story ya kuwa kuna michael jackson wa ukweli na feki/frank jespin... Imeandikwa na kuelezwa na watu wengi... Waandishi wengi wameiandika kwenye mitandao tena si mwaka huu nyingine ni karibu miaka minne iliyopita... Na wengi wanadai kuwa alikufa kwenye tukio la ajali ya moto wakati anatengeneza tangazo la pespi.. Hapa inadaiwa kwamba aliungua vibaya sehemu ya kichwa na uso na maeneo mengine mwilini mwake,, hivyo kutokana na hilo haikuwa rahisi kwake yeye kupona baada ya ajali hiyo ya moto... Waandishi wameenda mbali na kusema kuwa hili limetokea si kwa bahati Mbaya bali ni makusudi, na ilichangiwa na mafanikio makubwa aliyoyapata michael jackson katika kipindi kifupi... Kwani ilimchukua miezi kadhaa tu kuchukua tuzo karibu 7 za grammy... Hivyo wazungu wengi hawakulipenda hilo... Pia mwandishi ameonesha pia kama kulikuwa na dalili za uhasama kati ya kampuni ya pepsi na cocacola... Sote tunajua kwenye masuala ya matangazo ya biashara pale unapomtumia msanii ama mtu maarufu duniani kutangaza biashara yako... Huwa inachangia kwa kiasi kikubwa sana biashara kwenda vizuri, na kuna sehemu inaonyesha michael alishawahi kuwa na mazungumzo na kampuni ya cocacola kwa ajili ya kuandaa Tangazo katika kipindi hicho hicho...

MWISHO WA SIKU YEYE MICHAEL JACKSON NDIYE MWENYE KUUJUA UKWELI WA YOTE HAYA...

Pia kuna ambao wanasema kwamba michael jackson alifariki kwenye nyumba ya mwanasheria, ambaye ni rafiki yake... Na maiti yake ilizikwa kimya kimya...

Angalizo: KUNA MUDA HUWA SIYAAMINI HATA MANENO YANGU... MAANA SIIJUI KWELI HASA NI NINI MAANA YAKE...
 
Michael Jackson (29 Agosti 1958 – 25 Juni 2009) alikuwa mwanamuziki na mburudishaji wa Kimarekani ambaye ametumia zaidi ya miaka arobaini katika jicho la umma, kwanza akiwa kama nyota mtoto akiwa na kundi zima la The Jackson 5, kishaa badaaye kama msanii wa kujitegemea. Kuanzia katikati mwa miaka ya 1980 imekuwa wazi kwamba mwonekano wa Jackson ulikuwa unabadilika bila kificho. Ngozi ya mwili wake imeanza kupauka, pua na umbo la sura yake imebadilika, na kapoteza uzito.

Ile hali ya mpauko wa ngozi awali ulisababishwa na vitiligo na lupus (ugonjwa wa ngozi ambao tiba yake ni tata) — ambao Jackson alijaribu kuutibia kunako mwaka wa 1986—na matumizi yake ya vipodozi mbalimbali ili kuficha madoa yake ya mwilini.[1]Baadhi ya madaktari wa upasuaji wamekisia ya kwamba pia alifanya "rhinoplasty" (upasuaji wa pua), kuinua paji la uso, upasuaji na usawazishaji wa kidevu, na kabadilisha vilevile midomo yake.[2] Hayo yote ya karibu yanakadiliwa kufanywa na mwimbaji huyo kunako miaka ya 1990, amepitia karibia michakato kumi ya kubadili umbo lake.[1]

Jackson na baadhi ya ndugu zake walisema ya kwamba walikuwa wakinyanyasika sana kimwili na kihisia na baba yao, na mwaka wa 2003, alikubali kwamba alikuwa akimchapa viboko sana Jackson wakati yu mtoto.[3]Jackson hapendi kabisa kulizungumzia hili, lakini pindi tu anapolisema, anakuwa na huzuni sana na kusema ya kwamba angetapika kabla ya kukutana na baba'ke. Madaktari wanasema alikuwa na matatizo ya maumivu ya mwili. Deepak Chopra, daktari na rafiki wa karibu Jackson kwa karibia miaka 20, amesema: "Kilichokuwa shurutisho kwake ni hali ya kufanya upasuaji uliokuwa a hali ya kujibalisha mwenyewe, hali ambayo dhahiri ni kutojiheshimu au kujikubali wewe kama wewe."[4]

Wakati fulani katika miaka ya 1990, ilionekana ya kwamba Jackson amekuwa tegemezi kubwa la madawa mbalimbali, hasa dawa za kuua maumivu na na vipoozeo vikalivikali, na afya yake ikaanza kuyumba waziwazi. Ameenda kujiswafi kunako mwaka wa 1993 kwa msaada wa Elizabeth Taylorna Elton John,[5] lakini ulevi wa dawa ulibaki palepale. Amefariki kwa mshtuko wa moyo kunako tar. 25 Juni 2009.
hahaha asante sasa hapa ndio unge mtag ... Fantasia
 
asante sana
 
Asante
 
Ndugu tusitoke nje ya mada:

lengo kuu la uzi huu, ni kukufikisha mahali ndugu msomaji ukajihoji binafsi, na yale yanayoendelea duniani, kukuchochea we kutokubali mambo kwenye sahani
Kwenye dunia iliyojawa ushahidi wa uongo, kutokuwepo ushahidi ndio unakuwa ushahidi, hii hasa pale watawala, wenye mamlaka juu ya vyanzo vya taarifa, wanapokuwa ndio watuhumiwa wenyewe. Ishu ya Michael Jackson, ni mfano mdogo tu, mjadala ni mpana kuliko hapo.

mada yetu inahoja Za msingi zifuatazo:u

1. Mweusi binadamu wa Kwanza
2. Mweusi mwanzilishi wa ustaarabu duniani ikiwa ni pamoja na dini
3. mweupe kwa sababu ya wivu na chuki akaleta Sera ya ubaguzi
4. Kupitia ubaguzi amejaribu na kufanikiwa mno kufuta ya misingi mikuu iliyowekwa na mtu mweusi, kisiasa, kitaaluma, kitamaduni, na anaendelea kufanya hivyo hadi leo
5. Ustaarabu wa mweupe leo ni mwigo wa ustaarabu mkongwe zaidi wa mweusi kwa kila namna
* Kama una ushahidi kupinga haya tuyasemayo, tuletee hapa
Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidiewatusaidie
Asanteni
 
Sina akili nyingi, ni kuchoka to na uongo duniani
ukiwa na akili ndogo huwezi "" kuutambua uongo"" unaopikwa na watu waliobobea kwenye taaluma zao "abadani "" Dunia imejaa uongo mwingi mnooo kwenye kila sekta "" kwa sababu ili utawala Fulani upate kushika hatamu ya kiutawala nilazima ichabgue kundi la kuwaongoza na kuwajaza ujinga "" ... kila sekta huwa inatumika ndivyo" sivyo kuhakikisha taifa linavuna Pesa nyingi toka kwa wajinga walioandaliwa " na wao "" refer "" HIV ..EBOLA " NA NGANO ZA KUPIKWA TOKA KWA WAYAHUDI NA WAARABU ""..so mpka umeweza kuutambua " huo uwongo means haupo kwenye kundi LA wenye akili ndogo
 
Ngija wake "" .. mimi sina hata cha kupinga hapo" sana sana "" nadhani wajua fika kuwa na mimi ni muumini wa hii movement inayomtaka mtu mweusi apate kujitambua ""..
 
ukiwa na akili ndogo huwezi "" kuutambua uongo"" unaopikwa na watu waliobobea kwenye taaluma zao "abadani "" Dunia imejaa uongo mwingi mnooo kwenye kila sekta "" kwa sababu ili utawala Fulani upate kushika hatamu ya kiutawala nilazima ichabgue kundi la kuwaongoza na kuwajaza ujinga "" ... kila sekta huwa inatumika ndivyo" sivyo kuhakikisha taifa linavuna Pesa nyingi toka kwa wajinga walioandaliwa " na wao "" refer "" HIV ..EBOLA " NA NGANO ZA KUPIKWA TOKA KWA WAYAHUDI NA WAARABU ""..so mpka umeweza kuutambua " huo uwongo means haupo kwenye kundi LA wenye akili ndogo
Ni ukweli
 
Hata kwa plastic surgery gaaani...huwezi mweusi ukageuka mzungu
Na watoto hawa mbegu nyeusi hii????????
article-2408513-1432BC72000005DC-363_634x508-438x351.jpg
medium_was-jackson-the-biological-father-of-any-of-his-kids-1488299169.jpg
medium_michael-jackson-may-not-be-princes-biological-dad-1488299169.jpg
th (71).jpeg
 
Kama una ushahidi kupinga haya tuyasemayo, tuletee hapa
Tuamke, tuwaamshe mizimu wetu, katika nyakati za hatari watusaidiewatusaidie
Asanteni
Ushahidi upo, mtu mweusi kweli amedhulumiwa sana na pia katendewa mabaya mengi, lakini hayo yote yamempata au yanaendelea kutupata kwa sababu ya ujuaji wetu. Hatuta weza kutoka kwenye haya mabaya mpaka tuijue ile njia ya kweli.
 
Ni kweli ndugu
 
Lazima, tujihoji, na kuanza kuhoji yote yatuhusuyo
 
Back
Top Bottom