Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
- Thread starter
- #1,081
HaswaSisi Wa Africa ndiyo tulio tengeneza hii na paka Leo mizimu yetu IPO humo.View attachment 808225
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaSisi Wa Africa ndiyo tulio tengeneza hii na paka Leo mizimu yetu IPO humo.View attachment 808225
Ni kweli nduguMind set zetu ndio tunafikiri hivyo ,tume jiweka hivyo.Na hii ni kwa sababu ya Mifumo ya Dunia hasa Swala zima la Elimu.Hatu thamini hata Nyumbani tulipo zaliwa ,bado sana Mkuu.
Mbona wazungu wanga sana tu, kimsingi, walichotushinda ni uchawi,baada ya kututenganisha na mizimu yetu,mizimu ni miungu, ni rohoKwa imani hizi za kutaka kutegemea mizimu kamwe hatuwezi kushiriki kombe la dunia labda mizimu waanzishe kombe lao tutashiriki
Miundo mbinu bado, magufuli anakwenda vizuri, reli, Barbara ziongezeke,lakini zaidi sana shule bora na makitaba, pia makazi bora, nyumba Za umma kwa bei nafuu, kuw akwamua walio wengi, badala ya ujenzi holela, city plan,naramani Za miji ni muhimu, angalia makazi mabovu kwa weus i mfano mtogole na kwa mnyamani, lakini weupe, wazungu waarabu na wahindi wanaishi kwenye nyumba bora mbezi beach, msasani ni ubaguzi wa kiwaziwazi, na waswahili, tunachukiana, kudharauliana Sisi kwa sisi na hali ya mswahili iko hivi duniani kote, sio bahati mbaya, ni makusudi
Mkuu maji ya mto Nile hayaji ziwa victoria,ila yanatokea ziwa victoria kwenda huko bahari ya Mediteranian...
Tatizo sio mzimu, tatizo mzimu mweusi, ukiambiwa mweupe: ndio mzeeKwa imani hizi za kutaka kutegemea mizimu kamwe hatuwezi kushiriki kombe la dunia labda mizimu waanzishe kombe lao tutashiriki
Bora ukawe mtabili.Niko nje ya lakini naomba kuchangia japo kidogo....
Nilibahatika kwenda shule na sikuwa na ndoto za kufanya kazi sababu niliona maisha ya kufanya kazi ni utumwa wa kiwango cha juu, nilipomaliza chuo sikurudi nyumbani niliamua kuanza maisha tofauti yasiyoamini katika hii elimu ya mkoloni...
Nikiwa mkoa fulani nilikutana na maajabu ambayo nimekumbuka baada ya kusoma hii mada
Mzungu alikuja na kudhulumu ardhi ya wenyeji wanyantuzu kaka zangu wakaungana na kusema labda sio sisi,, wakakubali kuondoka na wakajiapiza labda sio sisi mzungu akafunga mitambo yake akaja na wataalamu akafunga mitambo yake akaanza kazi kufikia mkanda wa dhahabu badala zitoke dhahabu wakawa wanatoka nyoka wadogo wadogo...
Wale wanyantunzu walienda kulilia mizimu huwezi amini mzungu aliondoka bila kuaga na mitambo aliacha na yule afisa madini alietoa kibali alijinyonga na mpka leo hii ndio sehemu pekee wazawa wanauziana visehemu na huwezi sikia mzungu ananunua eneo hilo....
Naamini mizimu tukiitumia inatusaidia.
Nimeshare tu japo niko nje mada
Hio sio ndoto yangu na ninachokifanya nakipenda toka moyoniBora ukawe mtabili.
Asante sana dadaNiko nje ya lakini naomba kuchangia japo kidogo....
Nilibahatika kwenda shule na sikuwa na ndoto za kufanya kazi sababu niliona maisha ya kufanya kazi ni utumwa wa kiwango cha juu, nilipomaliza chuo sikurudi nyumbani niliamua kuanza maisha tofauti yasiyoamini katika hii elimu ya mkoloni...
Nikiwa mkoa fulani nilikutana na maajabu ambayo nimekumbuka baada ya kusoma hii mada
Mzungu alikuja na kudhulumu ardhi ya wenyeji wanyantuzu kaka zangu wakaungana na kusema labda sio sisi,, wakakubali kuondoka na wakajiapiza labda sio sisi mzungu akafunga mitambo yake akaja na wataalamu akafunga mitambo yake akaanza kazi kufikia mkanda wa dhahabu badala zitoke dhahabu wakawa wanatoka nyoka wadogo wadogo...
Wale wanyantunzu walienda kulilia mizimu huwezi amini mzungu aliondoka bila kuaga na mitambo aliacha na yule afisa madini alietoa kibali alijinyonga na mpka leo hii ndio sehemu pekee wazawa wanauziana visehemu na huwezi sikia mzungu ananunua eneo hilo....
Naamini mizimu tukiitumia inatusaidia.
Nimeshare tu japo niko nje mada
Hahaha sawa chiefHio sio ndoto yangu na ninachokifanya nakipenda toka moyoni
Tena mizimu yetu inanguvu.Ibrahimu, isaka yakobo,kimweri,mansa kankan musa,mirambo, Sara wa biblia, Fatima na hadija wa quran, yote mizimu tu, tatizo, mizimu ya weusi, inafanyiwa ubaguzi

Tutakuita mkataa kwao ni mtumwa.Na usipokuwa na ibada yako, usipokuwa na kwenu, usipokuwa na kichwa chako mwenyewe, tunakuita Nani?????
HaswaTutakuita mkataa kwao ni mtumwa.