Tubadili majina ya Daraja la Mfugale na Kijazi

Tuweke ya Tundu Lisu na Lema!

Acha mzaha kwenye mjadala muhimu kitaifa. Thibitisha. Lissu na Lema wamefanya nini chenye umuhimu wa kukumbukwa kihistoria hata majina yao yasimikwe kwenye landmarks za taifa?

Halafu bwashee tuache ushamba. Lile daraja pale TAZARA junction nalo ni landmark ya taifa la Tanzania?
 
Kwa mimi naona ni rahisi na nimezoea kuyaita kwa hayo majina yake halisi yaani ubungo na tazara
 
Naunga mkono hoja, kuna majina mengi tu ya Watanzania wanaopigania HAKI za Binadamu Tundu Lissu, Sheikh Ponda,Askofu Mwamakula,Mashekhe wa Uamsho ni Watanzania waliojitolea sana na Huu ni wakati muafaka kuwaenzi.

Maria Sarungi Tsehai

kasimame pale na mkeo wazazi wako, ita media, taja majina utakayo
 
Hapa kwetu Majukum ya serikali yanachukuliwa Kama ridhaa au mapenz ya mtu binafsi na ukoo wake,,,,full Stop!
 
Tuondolee ushamba wako,Hata hayo tumejenga sisi kwa kodi zetu na tunataka utaratibu rasmi ufatwe wa kupewa majina sio mtu mmoja tu anagawa majina kama ni mali zake.
Hakuna haja ya kubadilisha.ila jengeni mengine myaite na majina yenu .kinawauma nini .au Engineer, eti walilipwa mshahara. Vip Baba wa taifa JNK Hakuwa ana liwa.pumbu izo jengeni mengine vibaraka nyinyi
 
Kama huo utaratibu hautafika mwisho tutakuwa taifa la hovyo sana.Lazima ifike mahali viongozi wanasiasa wafahamu wao wamepewa dhamana tu kwa muda ni sio umiliki wa taifa.
Hapa kwetu Majukum ya serikali yanachukuliwa Kama ridhaa au mapenz ya mtu binafsi na ukoo wake,,,,full Stop!
 
Kama hii hoja ni great thinking basi Tanzania ina long way to go, discussing unproductive issues personally na kama nchi na ujiite great thinker ni aibu
Kama siyo productive unafikiri kwanini mnaye mwabudu alikurupuka kutoa majina? Secondly angalia hoja imepata likes ngapi na imechangiwa posts ngapi?

Hata wewe mwenyewe umekuja na ubongo wako wa kuku
 
Wewe ulijaaliwa akili ya kuvukia barabara. Haya nenda kawapikie waajiri wako
 
Upuuzi mtupu.


Mbona hauoji mtaa wa Livingstone pale kariakoo?
Unaamka usiku wa manane, unasoma thread ya UPUUZI halafu unachangia UHARO. Wewe ni punguani
 
Wewe unaita Siri Wenzako walikuwa wachapa Kazi na sio wanafiki. Jenga choo mtaani kwako. Utachagua jina lako. Zaa mwanao umpe jina lako. Nunua bajaji nyuma andika LISSU
Wachapa kazi wanalipwa mshahara ndiyo haki yao
 
Kuna daraja la Tazara na Ubungo hayo mengine kaeni nayo kwenye mafile
 
Looks good

Tazara Interchange and Ubungo interchange

mitano tena
 
Mbona hili JPM aliishalimaliza hilo? Alisema kwamba, yeye ameyaita hivyo kwa mamlaka aliyokuwa nayo. Ikitokea Rais mwingine akaja na akaamua kuyabadilisha, sawa. Kwahiyo, wewe endeleza ushawishi, JPM aliishamaliza mwendo wake!
 
I dont think kama inaleta any sense , majina hata yasipokuwepo madaraja yanapitika na maisha yanaendelea huu uzi ni so frenghsenzridiculing kwa kimombo cha PLO Lumbumba kimsingi hauna tija
 
Kwa nini unawachukia hivyo, wamekukosea nini?
Hakukuwa na sababu ya kutoa majina hayo kwenye vitu vya umma ambavyo wao walikuwa watumishi tu ule ulikuwa ni ulimbukeni tu na ushamba wa magufuli hao hawakuwa na hadhi yeyote ya majina yao kutumika huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…