Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

Asante sana Nyondoloja,nilipandisha signal nikapata K24 signal zaidi ya asilimia 70,Sayare nimepata ila inascratch sana,WBS sikupata kabisa tatizo linaweza kuwa ni nini?

ndugu kibukila wbs haipo siku nyingi waliitoa.
 
Asante sana Nyondoloja,nilipandisha signal nikapata K24 signal zaidi ya asilimia 70,Sayare nimepata ila inascratch sana,WBS sikupata kabisa tatizo linaweza kuwa ni nini?

mkuu wbs wamepunguza sana sigino
Jalibu ingiza frequency namba zoze
Symbolrate ukiziingiza unasubili unaanza kupunguza yamwisho mfano
2387-2386-2385-2384 kilahatua unasubil
 
umetupa darasa la kutosha watu kama ninyi ndo mnaotakiwa msome kwa wingi ili wengi wafaidike na elimu yenu.
 
Hapo sawa.maana diseq-switch ina njia nne tuu.na mimi nilikuwa na swali hilo hilo.lakini umenijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…