Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo

Angekua na pesa angesaidia wadogo zake akawalipia Ada. Hujui Tafsiri ya maneno wwe. Dogo hana hela kwani Ada ya chuo si milion 3 per year,labda udaktari

Why mpaka Samia Asaidie?

Hana hela Ndio tafsiri yake
Mnasahau kuwa wake za viongozi (Rais) wanapata mshahara sawa na 75% (kama sikosei) za Rais aliyeko madarakani. Sasa Janet atashindwaje kusomesha wanae?
 
Nilipata div 4 o level,nikarisiti nikapata credits,walikoma huko a level na chuo,a level div 1,chuo upper second
The power of not giving up, hongera sana πŸ™Œ πŸ‘πŸ‘!

Nina my niece naye alikuwa kama wewe, alifeli form 4 akarudia mtihani akapass, akaenda A level then form 6 akapata Div 1 - now mwaka wa pili UDSM.
 
Hakuna njia ya mkato aliyopita kwanza ingekuwa gumbo sana kama yule mdada wa L.A alivyozusha mambo mengi ya hovyo kuhusu JPM na familia yake. Jesca kafukia mashimo mengi sana
 
Ni kweli kabisa "Ili ufike juu inatakiwa uanzie chini" na alitaka kuwafundisha watoto wasibweteke, mali zake siyo zao πŸ˜…
 
Kwanza kabisa umeuliza kwa nini huyo Dada ni maarufu kuliko ndugu zake wengine,
Mimi nimekujibu kuwa sababu ni hiyo skendo ndio ilipelekea.
UMaarufu wake ulianzia hapo.

Sijasema skendo ni ya kweli au lah.
No publicity is bad publicity ukiweza kucheza na attention unayopokea.

Jesca anayatumia mawe anayorushiwa kujenga msingi wa nyumba yake kisiasa, ngoja tuone kama itasimama au itaporomoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…