Hapa nilimaanisha endapo asiyejua kilugha chenu ni kati ya kampani yenu!Hiyo #10 huwa sioni tatizo ungekaa karibu na Wasambaa ungepigana kila siku maana Msambaa na lugha yake humwambii kitu.
Hiyo ya breach za ndevu kuna waumini flan ni ibada ili majini yakutii kuleta riziki au ulinzi.Mtu anakunywa chai,sasa anapovuta inasikika sauti hadi aibu huwa naona mimi ,
Kupaka bleach kwenye ndevu,hii kwangu ni No
Kunywa uji ulio kwenye kikombe kisha kwakuwa unaisha kutia kidole cha shahada kuukombelezea
Si vyema kuzushia watu uongo.Hiyo ya breach za ndevu kuna waumini flan ni ibada ili majini yakutii kuleta riziki au ulinzi.
Yeah nilikuelewa,Msambaa akikutana na mwenzake lazima aongee lugha ya nyumbani kwao bila kujali uliye kati yao unaelewa au hauelewi.Hapa nilimaanisha endapo asiyejua kikugha chenu ni kati ya kampani yenu!
La, hata wahaya wangekula vibao kila siku mjini na ofisi za umma
Unajisemea, huyu si aongee kiswahili tuKuna watu hua wanaongea kingereza aibu naona mimi