Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Sasa chai ya moto utaachaje kuvuta? Hebu jaribu kuinywa kama maji uone kitakachokukuta!Mtu anakunywa chai,sasa anapovuta inasikika sauti hadi aibu huwa naona mimi ,
Sasa chai ya moto utaachaje kuvuta? Hebu jaribu kuinywa kama maji uone kitakachokukuta!Mtu anakunywa chai,sasa anapovuta inasikika sauti hadi aibu huwa naona mimi ,
Acha tu,ndio maisha wamechagua japo wanajitoa ufahamu.Nikisikiliza zile clips 2 za ester bulaya nakosa jina la kumuita.
Kuona aibu kwa niaba ndo huku kunanipata!
Kuna mzee mmoja nilikaa karibu yake kwenye bus.Hii ukisafiri na wasukuma msimu wa embe dodo utakoma.