G
guest-1790917349
Guest
Mmh kukojekwahicho kinyaa chako utaweza kuish india ?😀😀
Ila mi vyakula vya waswahili🙌 naanagliaga sn mazingira,ila, kiukweli wanapika wale watu nawapa maua yao ....😂
Mmh kukojekwahicho kinyaa chako utaweza kuish india ?😀😀
Sasa sisi tutataja nini?Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3.
1. Jenetiki alizorithi
2. Mazingira aliyokulia
3. Mazingira aliyomo.
Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners).
Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya.
1. Kuongea na simu sauti ya juu mambo yako ya faragha.
2. Kupenga kamasi bila leso.
3. Kula unatoa milio ya kutafuna.
4. Kutamka sehem za siri mbele ya watoto.
5. Kuongelea staili za ngono za mwenza.
6. Kumtukana uliyemtongoza akakataa.
7. Kupeleka sheria mpya kwenye mji wa mtu.
8. Kusalimia kwa kurejea dini za wahusika na si imani yako.
9. Kurukia folen sehem za huduma.
10. Kuongea kilugha na mko na asiyekijua.
11. Kumhusisha mwanao kwenye harakati za mapenzi yako.
12. .....Endelea
Sasa sisi tutataja niniBinadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3.
1. Jenetiki alizorithi
2. Mazingira aliyokulia
3. Mazingira aliyomo.
Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners).
Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya.
1. Kuongea na simu sauti ya juu mambo yako ya faragha.
2. Kupenga kamasi bila leso.
3. Kula unatoa milio ya kutafuna.
4. Kutamka sehem za siri mbele ya watoto.
5. Kuongelea staili za ngono za mwenza.
6. Kumtukana uliyemtongoza akakataa.
7. Kupeleka sheria mpya kwenye mji wa mtu.
8. Kusalimia kwa kurejea dini za wahusika na si imani yako.
9. Kurukia folen sehem za huduma.
10. Kuongea kilugha na mko na asiyekijua.
11. Kumhusisha mwanao kwenye harakati za mapenzi yako.
12. .....Endelea
Hii kweliKupost status unaimbaimba na nyimbo zenyewe wala hauzijui vizuri, hapo utakuta ni 30+
Wazee wenzio tunahisi aibu.
wakina MOSIEHiyo #10 huwa sioni tatizo ungekaa karibu na Wasambaa ungepigana kila siku maana Msambaa na lugha yake humwambii kitu.
Ushindwe kula kwa kuona utupu wa mwanamke? Mi nilifikiri utakosa utulivu sababu ya tamaa?Sasa nguo ukikaa hadi ubane miguu kama miguu inaweza kuficha Pichu si ungetembea kavu kavu tu
Wengi maofisini wanatia aibu mama mtu mzima ila usijaribu kukaa nae meza zinazotazamana hata msosi utashindwa kula siku hiyo
Sijui mnatamani nini nyie wenzangu mimi natamani hadi kutapika na vile wengi siku hizi mirangi rangi isiyoeleweka ya kujichubua plus mifangasi humo katikati ya mapaja aisee bora wafunikage tu hiyo mitakataka yao sasa usiombe liwe bonge ndio utakimbiaUshindwe kula kwa kuona utupu wa mwanamke? Mi nilifikiri utakosa utulivu sababu ya tamaa?
Unakataza sababu ya kukwepa tamaa au kinyaa?
Wewe ni mwanaume?
Nikisikiliza zile clips 2 za ester bulaya nakosa jina la kumuita.Namna wanasiasa wetu walivyondumila kuwili na zile tabia hayati Mwalimu Nyerere alizianisha kwenye hotuba zake,aibu tunaona wananchi tusiofungwa na itikadi za vyama.
Mwanasiasa anaweza kutoa kauli kinzani na aliyoitoa jana tu au masaa machache.
Kweli tunatofautiana, mimi ndo kwanza naanza kumpigia mahesabu hata kama m'mamaSijui mnatamani nini nyie wenzangu mimi natamani hadi kutapika na vile wengi siku hizi mirangi rangi isiyoeleweka ya kujichubua plus mifangasi humo katikati ya mapaja aisee bora wafunikage tu hiyo mitakataka yao sasa usiombe liwe bonge ndio utakimbia
Mimi najiuliza sijui hawaonagi aibuKweli tunatofautiana, mimi ndo kwanza naanza kumpigia mahesabu hata kama m'mama
Wote uliotaja naweza kuwa na hisia nao wakiweka mazingira vibayaMimi najiuliza sijui hawaonagi aibu
Mkuu kuna watu automatically huwezi kuwatamani hata uwe na tamaa za fisi mfano mkubwa wako wa kazi ambae unamheshimu, Mama zako hata kama sio wa kukuzaa, dada zako hata kama hamjazaliwa tumbo moja na wengine wengi ambao hisia haziwezi kukujia kulingana na status zenu watu hao wakikaa kihasara ndio utajua uhalisia wa ubaya wa hayo madude niliyoyataja
EishKupost status unaimbaimba na nyimbo zenyewe wala hauzijui vizuri, hapo utakuta ni 30+
Wazee wenzio tunahisi aibu.
Hahahah, mliwakilishwa nasi watia sahihi mkuuMimi sikutia Saini! Ahahahahaha!!
Mkuu ni hatari kama ndio hivyo unawezaje kuwa na hisia na mama zako wadogo au wakubwa, wajomba wa tumbo la dada zako, dada zako wa mama zako wadogo, shangazi zako waliozaliwa na baba ako, na mfanano wa hivyo kusema ukweli jamii yetu kwa sasa inatia kinyaa means imeozaWote uliotaja naweza kuwa na hisia nao wakiweka mazingira vibaya
Sasa mavazi ya ccm yana shida gani ?Mi ukivaa manguo ya ccm siongozani na wewe wala kukaa nawewe , .... kula huku ukilamba vidole ,..... kula huku unabeua ( kutoa pumzi ya ndani ) ....mwanaume kusuka nywele ....... kuongea bila kuwapa nafasi wengine waongee ......Ujuaji ujuaji ..... kuombaomba vitu ...... uchawa uchawa ( ukiwa na mimi ghafla anatokea mtu mwenye pesa unamshobokea )
Hii mkuu si kwa Wasukuma tu sema makabila yote kwa watu wanaotoka vijijini.Hii ukisafiri na wasukuma msimu wa embe dodo utakoma.