Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Kula barabarani sio adabu mkuu.Hivi kumbe kunawatu mnaona noma kula mhindi/muwa mkiwa mnatembea! Yaani kwamba nikinunua kipande cha muwa au mhindi ni hadi nifike home ndo nile? Mi kwakweli napigaga tu...