Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Usingejibu.Ni kweli kabisa.Basi nilipotoshwa na jamaa yangu huko Gando, Chake chake
Usingejibu.Ni kweli kabisa.Basi nilipotoshwa na jamaa yangu huko Gando, Chake chake
Kuna member anaitwa Tlatlah na Lucas mwashambwa,waki comment au kuanzisha thread naona aibu mimi,sababu wanaandika upuuzi!Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3.
1. Jenetiki alizorithi
2. Mazingira aliyokulia
3. Mazingira aliyomo.
Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners).
Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya.
1. Kuongea na simu sauti ya juu mambo yako ya faragha.
2. Kupenga kamasi bila leso.
3. Kula unatoa milio ya kutafuna.
4. Kutamka sehem za siri mbele ya watoto.
5. Kuongelea staili za ngono za mwenza.
6. Kumtukana uliyemtongoza akakataa.
7. Kupeleka sheria mpya kwenye mji wa mtu.
8. Kusalimia kwa kurejea dini za wahusika na si imani yako.
9. Kurukia folen sehem za huduma.
10. Kuongea kilugha na mko na asiyekijua.
11. Kumhusisha mwanao kwenye harakati za mapenzi yako.
12. .....Endelea
UShetani kabisaKuna dada mmoja mpangaji mwenzangu alikuwa anaongea na simu Mida ya saa mbili usiku, anaongea na mwanaume wake, na huyo mwanamume wake alikuwa anataka mzigo mazungumzo yalikuwa hivi:
Dada mpangaji: umesema umemisi k... yangu Mnato??
Dada mpangaji: acha uongo wiki mbili zote haujapata k.... ya ku...t....
Dada mpangaji: kwahiyo unakuja saa ngapi?
Dada mpangaji: uje na ndizi nyama sijala toka asubh usije ukaniua.
Imagine anaongea kwa sauti na muda huo watu bado hawajalala
Tunaogopa fangasi...🙃🙃😄😄Tabia za kuanika Kabundu ( Michupi ) upenuni hasa Dada zetu.
Mosie n'zezeHiyo #10 huwa sioni tatizo ungekaa karibu na Wasambaa ungepigana kila siku maana Msambaa na lugha yake humwambii kitu.
Kuona Lucas Mwashambwa akimuimbia mama mapambio kila kukichaBinadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3.
1. Jenetiki alizorithi
2. Mazingira aliyokulia
3. Mazingira aliyomo.
Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners).
Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya.
1. Kuongea na simu sauti ya juu mambo yako ya faragha.
2. Kupenga kamasi bila leso.
3. Kula unatoa milio ya kutafuna.
4. Kutamka sehem za siri mbele ya watoto.
5. Kuongelea staili za ngono za mwenza.
6. Kumtukana uliyemtongoza akakataa.
7. Kupeleka sheria mpya kwenye mji wa mtu.
8. Kusalimia kwa kurejea dini za wahusika na si imani yako.
9. Kurukia folen sehem za huduma.
10. Kuongea kilugha na mko na asiyekijua.
11. Kumhusisha mwanao kwenye harakati za mapenzi yako.
12. .....Endelea
Kama hujui kitu bora unyamaze!Hiyo ya breach za ndevu kuna waumini flan ni ibada ili majini yakutii kuleta riziki au ulinzi.
Nilipanda shambalai kwenda kwa wakwe.! Nilihisi kama nimetekwa ndugu yanguHiyo #10 huwa sioni tatizo ungekaa karibu na Wasambaa ungepigana kila siku maana Msambaa na lugha yake humwambii kitu.
Haha, mkuu Wasambaa hata wakutane London kitapigwa kilugha safii kabisa, khabar hawanaNilipanda shambalai kwenda kwa wakwe.! Nilihisi kama nimetekwa ndugu yangu
Basi zima KUANZIA dereva, kondakta mpaka na jirani yangu siti moja wanaongea kilugha.! Ilibidi nivunge sometimes kama nimeipata content lakini wapi
Nilishukuru walipokitaja kituo ninachoshukia kwa kiswahili ndio ilikuwa salama yangu
shida ni kuongea kwa sauti kubwaHapo shida iko wapi mkuu, wewe ndo utegue antena za masikio yako vyumban kwa watu.
Wala sio dhambi, nimekuja kugundua humu jf kwamba kuna watu wanaogopa kuona chupi.Tunaogopa fangasi...🙃🙃😄😄
Basi itakuwa tuko wengi. Ila binafs nina excuse kwa niaba yao.Kuna member anaitwa Tlatlah na Lucas mwashambwa,waki comment au kuanzisha thread naona aibu mimi,sababu wanaandika upuuzi!
Basi Chukua nafasi hii kulitolea ufafanuzi.Kama hujui kitu bora unyamaze!
Mashemela wangu Hawa Shikamoo kwa kweliHaha, mkuu Wasambaa hata wakutane London kitapigwa kilugha safii kabisa, khabar hawana