Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Kuna sk nilipishana nao RoadHiyo ya breach za ndevu kuna waumini flan ni ibada ili majini yakutii kuleta riziki au ulinzi.
Walikuwa na nguvu za giza
Nikakemea
Kuna sk nilipishana nao RoadHiyo ya breach za ndevu kuna waumini flan ni ibada ili majini yakutii kuleta riziki au ulinzi.
😂😂😂 huwezi kuwa na akili timamu ukafanya upumbavu uleSijui ni mimi tu, yaani huwa naona ni kama tatizo la afya ya akili!😀
Na ni wasomiTatizo vichaa ni wengi sikuhizi
Kufanikiwa sio lazima uwe na mapesa mengi. I mean sio lazima uhusishe na issue ya uchumi. Ndio maana kuna watu wana mapesa lakini hawana furaha wakati wale regular people wana enjoy to the fullest na kidogo walichojariwa..
Hizi ni hobby kama hobbies nyingine hatuwezi kuna mtu huko tiktok ni kuimba kucheza na kutikisa nyashi kote huko mm sipo unadhani wale wanafuraha au wamenikiwa na wanamaisha mazuri kuliko mm..usikariri mpendwa
Inategemea na mandhari weweA. Wadada kuvaa nguo fupi inatia kinyaa
Mkuu makubaliano ya mwaka Jana December si ilikuwa "hakikisha 2025 hawakuelewi"?Kumuona mtu anaongea kwa saiti kwenye kijiwe cha kahawa eti hakuna Uchaguzi Mkuu mwaka huu halafu baadae anauliza, "eti Februari Makatani kakatwa jina? Dadeeeki, mwaka huu hawi Mbunge"!
Hapo shida iko wapi mkuu, wewe ndo utegue antena za masikio yako vyumban kwa watu.Kuna dada mmoja mpangaji mwenzangu alikuwa anaongea na simu Mida ya saa mbili usiku, anaongea na mwanaume wake, na huyo mwanamume wake alikuwa anataka mzigo mazungumzo yalikuwa hivi:
Dada mpangaji: umesema umemisi k... yangu Mnato??
Dada mpangaji: acha uongo wiki mbili zote haujapata k.... ya ku...t....
Dada mpangaji: kwahiyo unakuja saa ngapi?
Dada mpangaji: uje na ndizi nyama sijala toka asubh usije ukaniua.
Imagine anaongea kwa sauti na muda huo watu bado hawajalala
Naongea kwa mandhari niliyonayo mimi ofisini, sokoni, ibadani, nyumbani kwenye usafiri nkInategemea na mandhari wewe
KabisaWadada kuvaa nguo fupi inatia kinyaa
So primitiveKuja dukani na mswaki mdomoni!!
Alf kwa nn Wazungu hawafanyi hivyo kuliko wabongoKuna dem nimezaa nae ana hii tabia na yuko hapo ghorofa ya 3 chumba namba 5 yaani niki-view status zake aibu naona mimi
Anaji devalueSijui huwa wanajionaje...unakuta anazungusha zungusha macho na kujishaua shaua.
Hivi kumbe kunawatu mnaona noma kula mhindi/muwa mkiwa mnatembea! Yaani kwamba nikinunua kipande cha muwa au mhindi ni hadi nifike home ndo nile? Mi kwakweli napigaga tu...12:Kula muhindi wa kuchoma huku unatembea na kula muwa barabarani huku maji ya muwa yanachuruzika kwenye mikono unalamba flluluuuulu.