The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kuongea ongea hovyo kwenye vyombo vya usafiri,tena kwa sauti ya juu.
Hii kitu ilinishinda kabisa kujiposti hovyo mtandaoni cjui ni uzee au nnKupost status unaimbaimba na nyimbo zenyewe wala hauzijui vizuri, hapo utakuta ni 30+
Wazee wenzio tunahisi aibu.
Basi post masuala kama unavyoona tiktok kila mtu anachagua mlengo wa kupost.Hii kitu ilinishinda kabisa kujiposti hovyo mtandaoni cjui ni uzee au nn
Enna kalumbuTabia za kuanika Kabundu upenuni hasa Dada zetu.
KUgombea urais kwa lazima pasipo kufuata taratibu rasmi.Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3.
1. Jenetiki alizorithi
2. Mazingira aliyokulia
3. Mazingira aliyomo.
Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners).
Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya.
1. Kuongea na simu sauti ya juu mambo yako ya faragha.
2. Kupenga kamasi bila leso.
3. Kula unatoa milio ya kutafuna.
4. Kutamka sehem za siri mbele ya watoto.
5. Kuongelea staili za ngono za mwenza.
6. Kumtukana uliyemtongoza akakataa.
7. Kupeleka sheria mpya kwenye mji wa mtu.
8. Kusalimia kwa kurejea dini za wahusika na si imani yako.
9. Kurukia folen sehem za huduma.
10. Kuongea kilugha na mko na asiyekijua.
11. Kumhusisha mwanao kwenye harakati za mapenzi yako.
12. .....Endelea
Kuongea hvyo uongo aibu naona mimi....ungekuwa karibu ungekula kerbu matataKuna watu hua wanaongea kingereza aibu naona mimi
Kupost status unaimbaimba na nyimbo zenyewe wala hauzijui vizuri, hapo utakuta ni 30+
Wazee wenzio tunahisi aibu.
mbona yanazungumzika mkuu..12:Kula muhindi wa kuchoma huku unatembea na kula muwa barabarani huku maji ya muwa yanachuruzika kwenye mikono unalamba flluluuuulu.
Kuna dem nimezaa nae ana hii tabia na yuko hapo ghorofa ya 3 chumba namba 5 yaani niki-view status zake aibu naona mimiKupost status unaimbaimba na nyimbo zenyewe wala hauzijui vizuri, hapo utakuta ni 30+
Wazee wenzio tunahisi aibu.
Sijui huwa wanajionaje...unakuta anazungusha zungusha macho na kujishaua shaua.Kupost status unaimbaimba na nyimbo zenyewe wala hauzijui vizuri, hapo utakuta ni 30+
Wazee wenzio tunahisi aibu.
Wengi huwa wanaongea mambo ya kikuda ndio maana wana switch codeUnajisemea, huyu si aongee kiswahili tu
Wazee wenzao tunahisi aibu sanaSijui huwa wanajionaje...unakuta anazungusha zungusha macho na kujishaua shaua.