Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
Namnunuliaje na niko na wife ndani mkuuUngenunua ndizi nyama chap ukamletea halafu usikilizie mwitikio wake.
Namnunuliaje na niko na wife ndani mkuuUngenunua ndizi nyama chap ukamletea halafu usikilizie mwitikio wake.
halafu yule wakili dogo huku aki-sip kikombe cha kahawa alimshusha sana vyeo le profeseli, kichekesho zaidi ni ule mmbegi uliosheheni mikaratasi halafu bado prof hajui aanzie wapiNiliona aibu yule profesa wetu wa madini alivyobabaika kujibu hoja kwa lugha ya kimalkia kuhusu mikataba ya madini kule kwenye vikao vya kibeberu.
Na walihakikisha video haisambai sana yaani ni aibuuuuuuu kwa taifa.halafu yule wakili dogo huku aki-sip kikombe cha kahawa alimshusha sana vyeo le profeseli, kichekesho zaidi ni ule mmbegi uliosheheni mikaratasi halafu bado prof hajui aanzie wapi
Kwa kweliKupost status unaimbaimba na nyimbo zenyewe wala hauzijui vizuri, hapo utakuta ni 30+
Wazee wenzio tunahisi aibu.
Niliona kwenye masharti ya kuvaa suti ni kutokula mahindi ya kuchoma barabarani mkuu.mbona yanazungumzika mkuu..
Unawajua wasukuma wewe[emoji1]Hiyo #10 huwa sioni tatizo ungekaa karibu na Wasambaa ungepigana kila siku maana Msambaa na lugha yake humwambii kitu.
Hajakaa na wasambaa huyu kuna wadada nilikuaga nao saluni aisee mpaka laliniboa kila baada ya dakika kadhaa wanaongea kilughaHiyo #10 huwa sioni tatizo ungekaa karibu na Wasambaa ungepigana kila siku maana Msambaa na lugha yake humwambii kitu.
Hahahahahaha nimecheka sana mkuu, ukila na watu unatakiwa kuwa disminder.Kulamba mavidole baada ya kuweka tonge mdomoni kabla ya kumega tonge lingine.....
Au kula ubwabwa kwenye sinia la pamoja halafu mkono ukishatoka mdomoni ,unachapa kwenye sinia zile punje zinaruka shaaaaa kwenye sinia aiseee naweza kuachia msosi.......
Kula huku unaongea ka chiriku .......inaweza kipunje ukakiona hiko kinaruka shwaaaa mpaka kwenye sinia mnalokula wote tena .......
Kula kwa kuchimbua chakula katikati .....either kufata nyama pale kati au ulaji wa kuchimba tu mtaro....
Kula huku unaweka vitonge viwili mkononi .....kwamba unaharaka ya Nini tutakumalizia msosi kwani.....
Kumega tonge kubwa halafu ukataka kula likakushinda ,unakata kakipande unarudi kutoozea tena ........aaaah kwanini usikate lenye kukutosha....
Kushika glass ya maji tunayotumia na mikono iloloa sontojo ....wakati unajua nasisi tunasubiri hiyo hiyo kunywea inaacha mavidole pembeni mle .....aaaaaah
Kula unaangalia usoni watu ....aisee inakua kama unaona wengine tunakomba flani labda au ........
Kula huku unachezea Simu ....mara unacheka maumbeya ya insta nk .....
Huu SI uungwana....
Nguo fupi mwisho wapi?A. Wadada kuvaa nguo fupi inatia kinyaa
B. Mtu wa dini moja kuongelea dini nyingine inakera Sana
C. Mwanaume kuvaa nguo inayobana matako au mlegezo hadi matako yanaonekana ni aibu
Nguo ambayo ukikaa huhitaji kubana miguuNguo fupi mwisho wapi?
flluluuuulu, flluluuuulu,flluluuuulu.12:Kula muhindi wa kuchoma huku unatembea na kula muwa barabarani huku maji ya muwa yanachuruzika kwenye mikono unalamba flluluuuulu.