Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

Kuna dada mmoja mpangaji mwenzangu alikuwa anaongea na simu Mida ya saa mbili usiku, anaongea na mwanaume wake, na huyo mwanamume wake alikuwa anataka mzigo mazungumzo yalikuwa hivi:

Dada mpangaji: umesema umemisi k... yangu Mnato??

Dada mpangaji: acha uongo wiki mbili zote haujapata k.... ya ku...t....

Dada mpangaji: kwahiyo unakuja saa ngapi?

Dada mpangaji: uje na ndizi nyama sijala toka asubh usije ukaniua.

Imagine anaongea kwa sauti na muda huo watu bado hawajalala
Duh! Aisee🤔
 
Biashara ni matangazo mkuu. Ukiona anavaa hivyo jua anatangaza biashara yake huyo. Hivyo kuangalia ni sawa na window shopping tu.
Na wale wa ile michirizi ya kyupi? Imejichora raaa! Mwanzo mwisho unaiona akiinama hadi kale kakitambaa ka pale katikati unapaona
Mimi binafsi hata sivutiwi zaidi kuona aibu maana imekuwa mtindo wa mavazi wengine ni wakuu wetu kikazi, wengine ni mama zetu na dada zetu wa kufikia unatazama mara moja waangalia kando
 
Back
Top Bottom