Papaah
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,954
- 4,389
Pole.shida ni kuongea kwa sauti kubwa
Pole.shida ni kuongea kwa sauti kubwa
Ile ni hina inapakwa kwenye ndevu, ni Sunnah kuweka sio lazima na haihusiani na ufugaji wa majini. Na MUNGU anajua zaidiBasi itakuwa tuko wengi. Ila binafs nina excuse kwa niaba yao.
1. CCM huenda imetekwa na wasio wazalendo
Basi Chukua nafasi hii kulitolea ufafanuzi.
Sema wana umoja sana, akikaa mmoja kwenye nyumba au sokon baada ya muda wanakua ni wao tu eneo lote!Mashemela wangu Hawa Shikamoo kwa kweli
Ila kuwa mkaka wakati ni mdada? 😂😂😂😂Kuwa mdada wakati ni mkaka
😂😂😂😂😂😂Nilichukua Demu LACHALZ NIGHT CLUB SONGEA MJINI, mpaka muda huu nina siku 3 chumbani naugulia maumivu ya gono
Yote ni mbaya sana,japo yaonekana ni kawaida ila Kila tundu lingepewa heshima yake mkuuIla kuwa mkaka wakati ni mdada? 😂😂😂😂
Katoa kwenye uzoefu ni rahis kujua wanaofanya hivyo😅Umejuaje au wewe🤣
InakeraWanawake baadhi hasa Dar, kuvaa hovyo hadi chupi unaona kabisa, tabia ya aibu sana hii
Nani alikutuma?🧐Nilichukua Demu LACHALZ NIGHT CLUB SONGEA MJINI, mpaka muda huu nina siku 3 chumbani naugulia maumivu ya gono
Kwani mdada kuwa mkaka, au mkaka kuwa mdada, ni lazima ihusishe tundu? Km ulivyosema?Yote ni mbaya sana,japo yaonekana ni kawaida ila Kila tundu lingepewa heshima yake mkuu
Super!Unajinadi umeokoka/ni mtumishi wa Mungu, lakini kila saa unahadithia maisha yako ya zamani kama vile unatamani urudi kule kwenye dhambi.
We unanitafuta 🤣🤣🤣Kupost status unaimbaimba na nyimbo zenyewe wala hauzijui vizuri, hapo utakuta ni 30+
Wazee wenzio tunahisi aibu.
Ndo maana sipendi fresh juice kwenye nyumba za watu au migahawaKujikuna korodani na kunusa mkono kujichokonoa pua na kulamba vidole
Ajabu sana...😁😁Wala sio dhambi, nimekuja kugundua humu jf kwamba kuna watu wanaogopa kuona chupi.
Unaogopa kunywa vumbi la korodani 😀😀Ndo maana sipendi fresh juice kwenye nyumba za watu au migahawa
Naona kichefuchefu