Tucheke pamoja (UTANI): Utetezi wa Samia, DGIS, CDF na IGP mbele ya Majaji Mahakama ya ICC

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Samia- Waheshimiwa Majaji, mimi sikutoa maelekezo yeyote kipindi cha Uchaguzi. Nchi ilikuwa chini ya mwanangu Abdul na Msaidizi wangu Kheri. Hawa ndo walikuwa wanawasiliana na DGIS, IGP na CDF

DGIS- Waheshimiwa Majaji. Mimi sijui lolote. Hata kwenye Taasisi yangu hakukuwa na chain of comand. Maelekezo yalikuwa yanayoka kwa Rais kupitia Abdul na Kheri kisha yanashuka kwa Mkuu wa Operesheni. Mkuu wa Operesheni alikuwa anatekeleza bila kunihusisha.

CDF- Waheshimiwa Majaji. Kusema kweli mimi niliwekwa chini ya ulinzi wakati wote wa Uchaguzi. Hata siku niliyotoa tamko niliwekewa mtutu. Anayefahamu kila kitu ni Chief of Staff ndo alikuwa anawasiliana na Rais pamoja na mtoto wake Abdul na mshauri wake Kheri

IGP- Waheshimiwa Majaji, mimi sihusiki kabisa na mauaji. Kipindi cha Uchaguzi maelekezo yalikuwa yanatoka kwa Rais, mtoto wake Abdul na mshauri wake Kheri. Hawa walikuwa wanawasiliana na CP Awadhi, SACP Muliro na Mafwele. Naomba muaulize hao

Majaji wa ICC- Hamna akili nyie wote

Rais Samuyaaaaa
20251121_101923.jpg
 
View attachment 3505388

HAKUNA KINACHOCHEKESHA. UMEANDIKA PUMBA NA UTOTO TU.
 
Nikuhakikishie tena kwa Mara nyingine SAMIA kwenda ICC Hilo sahau. SI Leo tu kwa miaka
Uzuri Mungu sio Nyau. Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand keshasema huko kuwe na Independent International Investigation kwa yaliyotokea Tanzania.

Nakuhakikishia. Kwa hili jambo lilipofika sasa, Samia ni potential mteja wa ICC kuliko kiumbe yeyote yule.
 
Ni nyepesi sanaa na hakuna kipya kwenye hiyo video
CNN ni chombo kikubwa Cha habari Duniani!! Kuitangaza habari ya namna hiyo kuitarifu Dunia kile kinacho endelea Tz.

Lakini pia hii itatumika kama social media evidence pindi mashtaka yatakapowasilishwa ICC
 
Uzuri Mungu sio Nyau. Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand keshasema huko kuwe na Independent International Investigation kwa yaliyotokea Tanzania.

Nakuhakikishia. Kwa hili jambo lilipofika sasa, Samia ni potential mteja wa ICC kuliko kiumbe yeyote yule.
Una mawazo mazuri lazima tuyakubali. Madhali Wazungu wapo hapa wakila maisha kwa rasilimali za hapa kwa mikataba mibovu tuliyofanya, madhali hatupingani nao kwa sauti yoyote nzito juu ya maslahi Yao huko nje , Bibi yupo nasi sana.
Kelele hazitaisha kutoka kwa watu wadogowadogo.
Ukitaka huyo aende The Hague aguse maslahi Yao!
Ukweli usiosemwa!
 
Back
Top Bottom