Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Samia- Waheshimiwa Majaji, mimi sikutoa maelekezo yeyote kipindi cha Uchaguzi. Nchi ilikuwa chini ya mwanangu Abdul na Msaidizi wangu Kheri. Hawa ndo walikuwa wanawasiliana na DGIS, IGP na CDF
DGIS- Waheshimiwa Majaji. Mimi sijui lolote. Hata kwenye Taasisi yangu hakukuwa na chain of comand. Maelekezo yalikuwa yanayoka kwa Rais kupitia Abdul na Kheri kisha yanashuka kwa Mkuu wa Operesheni. Mkuu wa Operesheni alikuwa anatekeleza bila kunihusisha.
CDF- Waheshimiwa Majaji. Kusema kweli mimi niliwekwa chini ya ulinzi wakati wote wa Uchaguzi. Hata siku niliyotoa tamko niliwekewa mtutu. Anayefahamu kila kitu ni Chief of Staff ndo alikuwa anawasiliana na Rais pamoja na mtoto wake Abdul na mshauri wake Kheri
IGP- Waheshimiwa Majaji, mimi sihusiki kabisa na mauaji. Kipindi cha Uchaguzi maelekezo yalikuwa yanatoka kwa Rais, mtoto wake Abdul na mshauri wake Kheri. Hawa walikuwa wanawasiliana na CP Awadhi, SACP Muliro na Mafwele. Naomba muaulize hao
Majaji wa ICC- Hamna akili nyie wote
Rais Samuyaaaaa
View attachment 3505388
Uzuri Mungu sio Nyau. Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand keshasema huko kuwe na Independent International Investigation kwa yaliyotokea Tanzania.Nikuhakikishie tena kwa Mara nyingine SAMIA kwenda ICC Hilo sahau. SI Leo tu kwa miaka
Sasa jina lako Chizi utatoa wapi akili?HAKUNA KINACHOCHEKESHA. UMEANDIKA PUMBA NA UTOTO TU.
Sasa jina lako Chizi utatoa wapi akili?
Unajiita chizi utajuaje kama jambo ni la maana?Unaandika mambo ya kitoto unataka watu wazima tucheke wakati its not funny
Unaugulia ukiwa wapi?Kumbe we jamaa ni mkunddu aisee,
Kumbe hauna chochote kichwani aisee!
Ni nyepesi sanaa na hakuna kipya kwenye hiyo videoHiii video ya CNN Samia akili ICC basi Shetani wake ni mkubwa sana.
CNN ni chombo kikubwa Cha habari Duniani!! Kuitangaza habari ya namna hiyo kuitarifu Dunia kile kinacho endelea Tz.Ni nyepesi sanaa na hakuna kipya kwenye hiyo video
sasa ye akiwa mkunddu we utakuwa nani? Acha matusi kimba weKumbe we jamaa ni mkunddu aisee,
Kumbe hauna chochote kichwani aisee!
Mm nitakuwa olosare, hapo unajisikiaje?sasa ye akiwa mkunddu we utakuwa nani? Acha matusi kimba we
Una mawazo mazuri lazima tuyakubali. Madhali Wazungu wapo hapa wakila maisha kwa rasilimali za hapa kwa mikataba mibovu tuliyofanya, madhali hatupingani nao kwa sauti yoyote nzito juu ya maslahi Yao huko nje , Bibi yupo nasi sana.Uzuri Mungu sio Nyau. Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand keshasema huko kuwe na Independent International Investigation kwa yaliyotokea Tanzania.
Nakuhakikishia. Kwa hili jambo lilipofika sasa, Samia ni potential mteja wa ICC kuliko kiumbe yeyote yule.
punguza kiherehere mjubaMm nitakuwa olosare, hapo unajisikiaje?