TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

Tucta wamesema nyongeza ni mwezi ujao
 
Wewe mleta mada ndio huenda huna akili timamu.

Ni TUCTA au serikali wanaolipa hiyo annual salary increment? Kwanini serikali haitaki kusema bali TUCTA iisemee?

Kwanini TUCTA hawakusema hayo kabla mpaka mishahara ya July ilipotoka na watu wakaambulia bila bila?

Sote tunajua mwaka wa fedha huanzia Julai (na Rais alihaidi hivyo), sasa inakuwaje Julai haikulipwa?

Kama unaamini kuwa hiyo nyongeza ya mishahara itafanyika mwezi wa Nane, kwanini usipongeze kelele za CHADEMA kuwa zimesaidia hilo?
Hii nchi ngumu sanaa na inafanywa kuwa Ngumu na watu kama wewe

Wewe viongozi wa chama cha watumishi wamewapa taarifa wanachama wao.

Chadema wanahusika VIP hapaaa

And chaa ajabu ukute huyu ni mtumishi wa umma.

Shame on you.
Hata hujui hata wajibu wa TUCTA .

UNA HALI NGUMU SANAA

Jamii forum tumevamiwa na bull sheet
 
UTARATIBU WA KUCHANGIA KESI YA KIZALENDO DHIDI YA SERIKALI JUU YA UUZWAJI WA BANDARI ZA TANGANYIKA:


NMB: 24710018584
JINA: ALPHONCE LUSAKO MWAMWILE


TIGO PESA: +255718760649
JINA: LUSAKO MWAMWILE


UMOJA NI NGUVU


UPENDO NI KUFAANA.
Sawa mkuu
 
Chadema aibu yenu hii,Huwa mnakurupuka na kudandia Kila tukio [emoji16][emoji16]
---


THE Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA) has said that the government will pay the annual salary increment in the August salary.

TUCTA President Mr Tumaini Nyamhokya said that the increment was suppose to be paid in the July salary but it has not been so due to technical reasons.

The government reinstated the mandatory annual increment during this year’s May Day commemoration among other measures to boost workers’ morale.

“The public servants expected the pledge made by President Samia Suluhu Hassan to be effected in this month’s salary but it has not been so due to technical reasons … the government has promise to include the payment in the next month salary,” said Nyamhokya.

He said TUCTA through its Secretary General Juma Mkomi had discussion with the government through the Minister of State, President’s Office (Public Service Management and Good Governance), George Simbachawene who promised that the salary increment will be paid in the August salary.

Moreover, Mr Nyamhokya implored the government to implement the annual salary increment pledge to raise employees’ morale in working and serving the people.

Early in May this year, President Samia Suluhu Hassan reinstated the annual salary increment to public sector workers which was initially frozen.
Tarehe 30, August tukutane
 
Yaani haya mambo ya nyongeza ya mshahara hayajawahi kuwa straight/kueleweka, ngoja tarehe 30/08 ufike kuna jambo linaweza kuibuka tena kuhusu hili, haya acha tusubiri tuone siyo mbali
 
Back
Top Bottom