TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

Tucta wamesema nyongeza ni mwezi ujao
 
Hii nchi ngumu sanaa na inafanywa kuwa Ngumu na watu kama wewe

Wewe viongozi wa chama cha watumishi wamewapa taarifa wanachama wao.

Chadema wanahusika VIP hapaaa

And chaa ajabu ukute huyu ni mtumishi wa umma.

Shame on you.
Hata hujui hata wajibu wa TUCTA .

UNA HALI NGUMU SANAA

Jamii forum tumevamiwa na bull sheet
 
UTARATIBU WA KUCHANGIA KESI YA KIZALENDO DHIDI YA SERIKALI JUU YA UUZWAJI WA BANDARI ZA TANGANYIKA:


NMB: 24710018584
JINA: ALPHONCE LUSAKO MWAMWILE


TIGO PESA: +255718760649
JINA: LUSAKO MWAMWILE


UMOJA NI NGUVU


UPENDO NI KUFAANA.
Sawa mkuu
 
Tarehe 30, August tukutane
 
Yaani haya mambo ya nyongeza ya mshahara hayajawahi kuwa straight/kueleweka, ngoja tarehe 30/08 ufike kuna jambo linaweza kuibuka tena kuhusu hili, haya acha tusubiri tuone siyo mbali
 
Tupigeni kazi mishahara inatosha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…