TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

Kimsingi TUCTA ni kachama flani hivi cha makanjanja wachumia tumbo na walamba miguu ya watawala tangu chama kiondoke na kina Mgaya hakuna chama hapo , yaani chama chini ya Nyamhokya kada mtiifu wa fiisiiemu hakijawahi kufanya lolote la maana, ni kuimba mapambio tu, ukitaka kujua hamna kitu hapo angalia barua yao Mkutano na waandishi wa Habari unaitwa Press Release? Mkutano wa waandishi wa habari ni PRESS CONFERENCE, sasa watu wahuni kama hawa unawachukuliaje SERIOUS , ama wahuni kama hawa wanawezaje kutetea wafanyakazi wenye njaaa wa kitanzania?
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…