Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

Sawa kabisa.
Sishangai nikikukuta ofisini umevaa pensi na jezi la Galatasaray, huko kichwani nywere umetibua!.
Kwani kuna shida gani kama anadeliver, akili sio mavazi au muonekano, matapeli ndo wanapendaga wawe na muonekano mzuri ili kuhadaa watu, kama hao wavaa suti wenu masaa yote kumbe wezi tu.
 
Ongeza exposure.
Yeye kiongozi ndio hana exposure. Aliishi ubalozini Ulaya akiwa mtoto mdogo, hakujifunza lolote. Total pinhead.

Kiongozi wa Ulaya hawezi kuja kwenye ukaguzi na kavaa street clothes. NEVER!

Subordinates wako wakivaa mavazi rasmi wewe bosi unakijaje kazini kihuni huni ???

Anakagua majengo my grits! Mbona hana helmet na reflective vest?? Wewe na huyo binti ndio hamna exposure.

Maadili ya viongozi yameporomoka. No way in hell Area Commissioner wa Julius Nyerere administration angevaa Air Jordans za laki tatu kuwakoga wananchi masikini wachafu.
 
Hata akitetewa kwamba alikua site anakagua(anaangalia tu.Wanakagua wenye ujuzi),alipaswa afuate dress code ya utumishi wa umma.Sitaki maswali.Hasheem Thabeet wameshaonana naye?✋
 
Unazingua aise. Nimefungua uzi kwa kasi, nikajua amevaa Bikini ofisini nione 'neema za Allah'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…