Mkuu nimeumwa si kidogo. Jumatano kuamkia alhamisi nilijua ndo mwisho wangu hapa duniani.Homa kaliiii,kifua kilikuwa kinabanaaa na pumzi inakata koo linakauka ohooooo!
Now naona hata kula natamani matangawizi limao asali na madawa mengine nakunywa tu