Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Ungepita hivi hivi ungekuwa umenisaidia zaidiachana na kamari
Baada ya hapo..droo wanachezeshaje..nitajuaje nimeshiriki na nimeshinda au kushindwa?Lipa kwa njia ya mtandao kuanzia 1000 kwenda 505050
kumbukumbu no andika 2456
Unakaa karibu na michezo ipiMchezo wowote wa kushinda pesa kwa kutumia pesa huwa nakaa nao mbali
biko ni usaniii mtupuNimeshiriki mchezo huu, na niliposhiriki wamekuwa wakinitumia msg zao za kunihamasisha nishiriki au msg za kutangaza washindi wao, Cha ajabu ni hizi msg mbili za kutangaza washindi hebu angalieni namba za simu za washindi! View attachment 533320