Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Wakuu kwa muda sasa naona haya matangazo ya bahati nasibu ya BIKO lakini kiukweli naambulia patupu kabisa.sijui hatua za kufuata ili kushiriki,namna droo zinavochezeshwa na jinsi mshindi anavopatikana...gharama zake ziko vipi?? Waliowahi kushiriki au kushinda mrujuze tafadhali