Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Unajua bora yule anayebeti anajua kabisa anabashiri akikosa anakosa kihalali..sasa hawa unatoa buku yako hujui kinachoendelea unasubiri tu ushindi..khaaa
 
Waongo hawa matapeli mie washanila sana na nishacheza sana na sijapata, alafu cha kushangaza hizo zawadi kila wiki wanapata watu wa Arusha [emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
 
Wezi wakubwa na matapeli mmenidhulumu buku??Washenzzi wakubwa sana.
ahaaa hamna wizi kaka nguvu ya buku j5 hii jaribu tena bahati yako milioni kumi on air cheza zaidi ujiwekee nafasi za juu kushinda liwezekanalo leo usingoje kesho nguvu ya buku#
 
utapeli upi ndugu jamani mbona bet uko hamsemi mmetapiliwa na washindi tunawatangaza kila juma...
Yaan me mmenipiga vibuku buku vyangu mpaka naweweseka usiku... [emoji188] [emoji188] [emoji188]
 
Yaan me mmenipiga vibuku buku vyangu mpaka naweweseka usiku... [emoji188] [emoji188] [emoji188]
pole sana japo wanaosema iwe live kama lotto nafikiri yatafanyiwa kazi maombi yenu usikate tamaa bado nafasi unayo na zawadi za papo kwa papo 5000-1,000,000 jackpot ya wiki ni mala mbili milion kumi 10,000,000.
 
Sasa nataka niende Katika bodi ya Bahati nasibu kuwashitaki vinginevyo natafuta mwanasheria nikawashitaki mahakamani kwa kunikosesha haki ya kushiriki bahati nasibu

Hiyo bahati nasibu umeshawini kupitia hapo kwenye kekundu usihangaike kuwapigia simu
 
ahaaa hamna wizi kaka nguvu ya buku j5 hii jaribu tena bahati yako milioni kumi on air cheza zaidi ujiwekee nafasi za juu kushinda liwezekanalo leo usingoje kesho nguvu ya buku#
Kubet Na Biko kipi Bora?
 
ahaaa hamna wizi kaka nguvu ya buku j5 hii jaribu tena bahati yako milioni kumi on air cheza zaidi ujiwekee nafasi za juu kushinda liwezekanalo leo usingoje kesho nguvu ya buku#
nguvu ya buku [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom