Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

Kazikwe na mzoga wenu
Ukiwa muumini wa watu utasema haya. Ukiwa muumini wa taasisi ulichoandika ni upumbavu. Kama ulienda shule utaelewa. Hatuhitaji viongozi ma fascist tunahitaji sheria zenye kutenda kwa kila mtenda! Sheria co mtu.. zipo kidhibiti matendo ya watu kama JPM. KWANN TENDA YA KUJENGA CHATO HAIKUTANGAZWA? MAYANGA CONSTITUTION NI KAMPUNI YA NANI?
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri.
 
Kwani TISS huwa wanastaafu??
 
Mtu akishalala hebu tujifunze tu kukaa kimya na kuiombea familia itiwe nguvu na marehemu akapumzike Kwa Amani....hata ukiongea hawezi kujibu hawezi kujibu kurasa zake zinakuwa zimefungwa.
 
Hao wazee wameshindwa kuzuia mwenye wako kudanja, ndo wataweza nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu hawatishiki na moshi babuu wee
 
Kikohozi cha MC wa shughuli kinanipa shaka kidogo
 
Mimi siyo mtaalam wa protokali lakini tukio lolote, akishiriki Rais, tegemea kuiona karibia Serikali yote.

Hata Mahiga, kama Rais angeshiriki, isingekuwa tofauti kubwa na hii ya leo.

Hapa ufahamu kuwa kuna Rais amehudhuria. Halafu Kikwete ni Rais mstaafu, na sote tunajua kuwa marehemu alikuwa karibu na marehemu, na wengine wanathubutu kusema ni ndugu yake.

Mtu mashuhuri akifariki au mtu wa kawaida asiye na umashuhuri wowote akafariki lakini watu wa karibu na marehemu wakawa ni watu mashuhuri, tegemea mabadiliko katika taratibu.
 
Mwaka fulani nilikuwa msibani ambapo baba wa rafiki yangu alifariki.
Rais Kikwete alikuja Msibani na hakukuwepo na waziri wala kiongozi yeyote. Alikuja akakaa akashiriki ibada ya kuaga akasepa.

Ulichoandika si kweli
 
Kwani kuna tatizo wakiwepo hao wote? Na leo ni jumapili watu wakienda kushiriki kumuaga Kuna shida gani?
 
Nchi hii Ina watu wa jinga wengi Sana na chuki kubwa Sana na ndio maana hatuendelei.
Kuna thread kibao Zina eleza kuwa huyu Membe alukwa Kachero Tena mbobezi lkn watu wana shangaaa kuona viongozi wengi msibani kwake
 
Samaki wanakulana wenyewe,baada ya tukio hili usishangae sukuma gang kikawakuta kilio au wafiwa wakafiwa tena. Wanasiasa wanaishi kinafki na kuwindana sana.
Kuna Raha Gani mtu anaipata Kwa kutoa uhai wa mtu mwingine tena bila hatia.....

Uhai wa mtu yeyote usio na hatia ukiutoa ni KARMA,

Kama zipo faida nijulishwe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…