Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

Mtu akishalala hebu tujifunze tu kukaa kimya na kuiombea familia itiwe nguvu na marehemu akapumzike Kwa Amani....hata ukiongea hawezi kujibu hawezi kujibu kurasa zake zinakuwa zimefungwa.
Wanaandikiwa mbwa wake ndo lengo
 
Wema haulipwi kwa ubaya abadani ukiwa mwema wewe ni mwema ukiwa mbaya vivyo hivyo . Tuendelee kujifariji kwa kusoma makala ile ya shiva na kile kitabu cha wahariri " I am the state"
Nenda kazikwe nae
 
Kuna sababu kadhaa,
Ni Waziri mstaafu, kada na mwana mtandao…

90% ya waliopo Serikalini ni watu amefanya nao kazi kwa muda mrefu, wengine walioko kwenye system ni ndugu na rafiki zake.

Pia ukumbuke huu msiba unaigusa Msoga, sasa unapozungumzia msoga si ndo serikali yenyewe?
Watu wanamaneno maneno
Jamani huu ni msiba tu kikawaida tu wala hayo msiyaweke hapa
 
Kwani alikuwa Kiongozi mdogo? Huyo ni mtu mzito kwenye wasiojulikana
Sasa Kama Ni mtu mzito,mbona tumeona hapa jf post ikisema atakata Moto,na imekua????

Nilikwazika kwa kauli yake kwa jpm ila naanza kujirudi,acheni kusnich mwendazake
 
Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe.

Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake.

View attachment 2621216
Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi ama mstaafu zinafahamika. Na ikumbukwe marehemu Membe alikuwa amestaafu na sheo chake cha juu cha mwisho kilikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje.

Nimeona Serikali nzima imejaa pale Karimjee, na hata wakuu wa mihimili ya dola nao wameshiriki kupata mimbari ya kutoa salaam kwa protokali za serikali.

Nafahamu humu JF kuna wataalam wengi, naomba tuelimishane inakuwaje huu msiba kuwa na protokali za juu kuliko misiba hata ya mawaziri waliowahi kufariki wakiwa madarakani.
Tunamkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi alipofariki hatukuona ukuu wa protokali namna hii.

R.I.P. Membe
Wanakuonyesha live kilicho tokea ili kabla yakutenda utafakari. 🤐
 
Jizi hilo hata walipake mafuta namna gani haiwezekani
Acha kisirani,,sasa kwani ameondoka na hata chembe ya alichokuwanacho kihalali na hivyo ulivyosema wewe na 'nukuu"ni vya uwizi ??na muhusika ukambatiza jina nyongeza ya kwamba ni "nakuu" Jizi!!,,,Una uthibitisho wa hayo uliyoyaandika??au ni mihemko tuu ya fikra mbovu za kusadikika!!
 
Membe amepewa heshima na hadhi ya mazishi ambayo hakustahiki.Membe alishatoka kwenye utumishi wa serikali hata upande wa chama.alijiapiza kutorudi.

Lakini watu walioipa heshima nchi kupitia uongozi wao kama Mzee Kingunge mazishi yake hayakupewa hadhi kutokana na mchango wake kwa nchi.Leo Membe anatajwa kama shujaa kwa lipi?

Kumkosoa rais wa chama chake aliekuwa madarakani ama kutaka kuchukua fomu ya rais kabla ya rais aliepo kukamilisha miaka 10?

Ni jambo la ajabu sana namna wanavyolazimisha msiba wa Membe kuwa ni jambo la kitaifa
 
Mbona mzee makamba hakwenda msibani?
Unadhani watakubali ajongee msibani?

Wanajua tayari washakanyaga waya wa exit hivyo wanajitahidi kuishi kwenye mvuke
 
Ila ukumbuke wanasubiriwa kwa hamu usitoe povu lako lote
Siku mbwa hawa wakidondoka daah
Endelea kujitoa ufahamu kwa sababu hiyo haitabadilisha ukweli kwamba Mungu Mtu wenu keshaoza, na hatarudi tena duniani!
 
Back
Top Bottom