Tuendako hali inatisha. Sasa maharage yanakimbilia kilo moja elfu 4 (4,000)

tuendelee kumsifu mama mkamsahau kumsifu mungu bado yatafika juu zaidi
 
Kama unajua hilo basi nunua msosi Kwa bei za wakulima..

Au acha Kazi yako kawe mkulima Ili utuuzie Kwa bei ya chini,hakuna shida mbona.
Ndio nimekwambia hatuwezi wote tukawa wakulima tunategemeana, ni sawa na wewe uzungumzie ubovu wa elimu au gharama kubwa za ada za shule halafu et suluhisho uwaambiwe ukawe mwalimu ili ufundishe vizuri na kwa ada nafuu au ukizungumzia gharama kubwa za matibabu uwambiwie ukawe daktari.
 
Mnalalamika si muache hizo Kazi zenu mkawe wakulima? Afu hapo mtakapoacha watafanya wengine ko ile ya hamuwez wote kuwa wakulima itakuwa inaendelea..

Acheni hapo mkalime,unataka nani akulimie na wewe ununue Bei ndogo?
 
Kuna shule za serikali, kuna hospitali za serikali ukienda private ukalalamika bei ipo juu unaonekana kichaa. Hakuna duka la serikali la kuuza maharage. Nadhani picha umeipata ni kwann kilimo kinatakiwa kiangaliwe kwa jicho la kipekee ili mazao yawepo bei ziwe za kawaida na si kutaka serikali ishushe bei kwa lazima.
 
Mnalalamika si muache hizo Kazi zenu mkawe wakulima? Afu hapo mtakapoacha watafanya wengine ko ile ya hamuwez wote kuwa wakulima itakuwa inaendelea..

Acheni hapo mkalime,unataka nani akulimie na wewe ununue Bei ndogo?
Kwani uliingia kwenye kilimo ili uuze bei kubwa?
 
Acha kukariri.....unaweza kununua njegers, choroko, mchicha,Kambare vyote hivyo bajeti yake haizidi 10,000
 
Mnalalamika si muache hizo Kazi zenu mkawe wakulima? Afu hapo mtakapoacha watafanya wengine ko ile ya hamuwez wote kuwa wakulima itakuwa inaendelea..

Acheni hapo mkalime,unataka nani akulimie na wewe ununue Bei ndogo?
Madalali, bodaboda, makondakta, misheni town, machinga wa kutembeza vitu mtaani wote hawa kulima hawataki ila huwapenda kweli viongozi wanaowakandamiza wakulima kwa kulazimisha bei iwe chini ili washibe.
 
Ni wapuuzi Sana ,Hawa Wana misuse nguvu Kazi zao Kwa expenses za wakulima..
 
Na Ili kilimo kiwe na maana Serikali isiingilie soko kama wapuuzi wachache wanavyotaka..
Upo sawa mkuu,Kilimo ni biashara, biashara inayolipa hufanywa na wengi na mwisho supply inakuwa kubwa bei inashuka automatic halafu baadhi wanaikimbia hiyo biashara kisha supply inashuka kidogo bei inaenda kwenye equilibrium.

INATAKIWA WATU WAPIGE KELELE NCHI IONDOKANE NA KILIMO CHA KUTEGEMEA MVUA SIO WAPIGE KELELE BEI ZA MAZAO ZISHUSHWE KWA LAZIMA.
 
Tena mnafu unakupatia na nyanya Kabisa
 
Reactions: Tsh
Ni nyinyi ndio mnaokuja na hizo kauli za kuwaambia wengine nao wawe wakulima ila watu wao wanalalamika gharama na kwamba ni suala ambalo linatakiwa kuangaliwa, hata huko shule za private na hospitali za serikali watu huwa wanalalamika ila ajabu huku kwengine ukilalamika ndio zinakuja kauli za ajaajabu et nawe kawe mkulima.
 
Inawezekana kuwa mkulima kwa ajili ya familia yako tu na wapo wanaofanya.

Pambana au iambie serikali ifungue duka la maharage, mahindi, mchele kwa bei nafuu kama ilivyofungua shule na hospitali kwa bei nafuu.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…