Tuendelee kutafuta pesa wakuu

Tuendelee kutafuta pesa wakuu

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.

Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.

Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
IMG_1487.jpeg
 
Na si panajaa kila week end? Watu wakitajirika tusiishie kuwaita masonic au mapunda pekee. Lazima pia tuijue mizunguko yao zaidi. Lazima pia tuitafakari michango ya wateja kwa matajiri watoa huduma.
Yaani katika kila chupa 2 za Kilimanjaro Drinking Water za 0.5 lt anauwezo wa kununua carton 1 ya jumla na chenji ikabaki.
Hapo ukute ulazima wa kwenda hapo uliletwa na baby. Kweli wanaosema watu wana pesa hawakosei. Ni kama wanaosema Dar kuna pesa.
 
Me naona bei ya kawaida sijui wenzangu. Mfano:

Mango juice 2 kwa elfu 5 kila moja.

Redbull 3 kwa elfu 6 kila moja.

Pepsi 3 kwa elfu 3 kila moja

Maji ya klm nusu lita kwa elfu 3 kila moja

Sema kama ulikua peke yako, ndani ya masaa mawili unakula ivo? We unaumwa
 
Back
Top Bottom