Tuendelee kutafuta pesa wakuu

Tuendelee kutafuta pesa wakuu

Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
HIO MLS 500 ya KILIMANJARO huku Tandale kwa Mkunduge unapata kwa Jelo Jelo kwa hio 6000 gawa kwa Jelo unapata chupa ngapi za Maji? 6000 ÷ 500 = 60/5 = 12

Chupa 12 za maji ya Kilimanjaro MLS 500
 
.......duu! ila jf tunaupiga mwingi kwenye swala la unafiki!, zikianzishwa threads za ugumu wa maisha Tz wengi tunakubaliana kuwa Kwa siku watz wengi wanaishi kwa dola moja au mbili, Sasa hapa jamaa anajaribu kuonesha alivopoteza pesa nyingi kwa siku moja, cha ajabu leo kila mdau humu kwake elf 89 ni ndogo sana, Sasa naamini humu kila mtu ana ghorofa, gari, dem mkali, ni handsome, tall six, pack, anaishi usa, yupo tra, bot, nk.......
 
Me naona bei ya kawaida sijui wenzangu. Mfano:

Mango juice 2 kwa elfu 5 kila moja.

Redbull 3 kwa elfu 6 kila moja.

Pepsi 3 kwa elfu 3 kila moja

Maji ya klm nusu lita kwa elfu 3 kila moja

Sema kama ulikua peke yako, ndani ya masaa mawili unakula ivo? We unaumwa
vyote kwenye tumbo moja 😀😀
 
Hahaha vyoote hivyo mtu mmoja?

Wenzako sehemu kama hizo huwa tunaenda tukiwa tumesha kula Dona nyumbani ukashiba vizuri, ukifika pale unakunywa maji tu, au kama ni beer basi moja inatosha.

Ukitaka kushiba sehemu kama hizo utaingia hasara sana.
 
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.

Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.

Anyway tutafute pesa kwa kasi sanaView attachment 3006436
Hayo ni matumizi ya wiki nzima ya chakula ya familia nzima Dar! Vijana mnapoteza fedha nyingi mno kwenye mambo yasiyo na maana. Unapaswa kuwa na kipato cha 1M plus kwa siku ili iwe halali kutumia 90,000 kula mlo mmoja.
 
mkuu elf 89 unalia lia ,huyu je asemeje?

20240517_082904.jpg
 
Back
Top Bottom