Tuendelee kutafuta pesa wakuu

Tuendelee kutafuta pesa wakuu

Hili neno tafuta pesa, baadhi ya wadada na wakaka wanalitumia vibaya, vibaya kiasi kwamba Hadi wanatoa jicho la tatu.
 
Uko daslam mbona wanapenda kuita places majina ya vitoweo? Mara samaki samaki...hee kumbe kuna kuku kuku....
 
Hizi ndio akili zetu...
Tunapenda sifa za kijinga...maji ya 500 wewe unaona fahari kununua kwa elfu 3..
Tubadili mtazamo wetu
 
Back
Top Bottom