Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
UlimbukeneJana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.
Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.
Anyway tutafute pesa kwa kasi sanaView attachment 3006436
Hongera mambo ya akwaida hayo mkuuJana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.
Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.
Anyway tutafute pesa kwa kasi sanaView attachment 3006436
Ndiyo mdudu gani huyo?Imagine unatafuta pesa ukaagize swaga la diamond🫢🫢.
Sasa hapo cha ajabu nini?Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.
Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.
Anyway tutafute pesa kwa kasi sanaView attachment 3006436
Hilo ''swaga la Diamond'' ndiyo mdudu gani?Kwa hali hii mtaendelea kuwa maskini hadi akili iwakae sawa, hata utafute hela namna gani bila control ya matumizi hasa kama luxury mzee huwezi kutoboa hata siku moja.
Sijui hata ni kitu gani??Ndiyo mdudu gani huyo?
Hongera kwa matumizi hayaJana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.
Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.
Anyway tutafute pesa kwa kasi sanaView attachment 3006436
Salome ni jina la cashier!Hongera Salome kwa matumizi haya