MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Jun 3, 2024 #81 Akosee mmatumbi mmoja wa huko nanjirinji wavamiwe watoto wa mjini badilikeni bwana granitized said: hili nalo ni la kuanzishia thread? wanaume wa dar mna tabu kubwa sana, ephen_ ukuje uwaone kaka zako huku, hawa ndo wakimnunulia demu tekno wereva wanatangaza mtaa mzima. Click to expand...
Akosee mmatumbi mmoja wa huko nanjirinji wavamiwe watoto wa mjini badilikeni bwana granitized said: hili nalo ni la kuanzishia thread? wanaume wa dar mna tabu kubwa sana, ephen_ ukuje uwaone kaka zako huku, hawa ndo wakimnunulia demu tekno wereva wanatangaza mtaa mzima. Click to expand...
R Ruble JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 845 Reaction score 1,579 Jun 3, 2024 #82 Mchimba Chumvi said: Mzee hii risiti umeokota kule X unakuja kutamba huku. Desperation Click to expand... Isije kua wa X ndio kaikota huku.
Mchimba Chumvi said: Mzee hii risiti umeokota kule X unakuja kutamba huku. Desperation Click to expand... Isije kua wa X ndio kaikota huku.
R RUFIJI VALLEY Senior Member Joined Apr 14, 2024 Posts 112 Reaction score 225 Jun 3, 2024 #83 Hili neno tafuta pesa, baadhi ya wadada na wakaka wanalitumia vibaya, vibaya kiasi kwamba Hadi wanatoa jicho la tatu.
Hili neno tafuta pesa, baadhi ya wadada na wakaka wanalitumia vibaya, vibaya kiasi kwamba Hadi wanatoa jicho la tatu.
G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 3,249 Reaction score 7,948 Jun 4, 2024 #84 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Akosee mmatumbi mmoja wa huko nanjirinji wavamiwe watoto wa mjini badilikeni bwana Click to expand... Ni nanjilinji mkuu, halafu nanjilinji kuna sehemu inaitwa kuku kuku?, hv huko daslam hakuna sehemu inaitwa mbuzi mbuzi?
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Akosee mmatumbi mmoja wa huko nanjirinji wavamiwe watoto wa mjini badilikeni bwana Click to expand... Ni nanjilinji mkuu, halafu nanjilinji kuna sehemu inaitwa kuku kuku?, hv huko daslam hakuna sehemu inaitwa mbuzi mbuzi?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Jun 6, 2024 #85 Uko daslam mbona wanapenda kuita places majina ya vitoweo? Mara samaki samaki...hee kumbe kuna kuku kuku....
Uko daslam mbona wanapenda kuita places majina ya vitoweo? Mara samaki samaki...hee kumbe kuna kuku kuku....
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 Jun 6, 2024 #86 Hizi ndio akili zetu... Tunapenda sifa za kijinga...maji ya 500 wewe unaona fahari kununua kwa elfu 3.. Tubadili mtazamo wetu
Hizi ndio akili zetu... Tunapenda sifa za kijinga...maji ya 500 wewe unaona fahari kununua kwa elfu 3.. Tubadili mtazamo wetu