Tufani la Alaqsa kuziangusha Marekani na Israel na kuzipindua nchi zote za kiarabu. Palestina kuwa taifa kubwa mbele ya Urusi na China

Sijaelewa kwahiyo Israel anashirikiana na Marekani kupigana vita na wanamganbo wa Hamas?
 
Huenda uko sahihi. Lkn nadhani, vita hizi huenda zikafanya ardhi iliyoahidiwa Kwa :Ibrahim, Isaka na Yakobo(Israel),kuwa mikononi mwa Waistael, ardhi hiyo ni:
Israel, West bank, Gaza, Jordan, Lebanon na sehem ya kusini mwa Syria.
 
Labda karne nyingi zijajazo lakini si kesho, hii ibaki ndoto ya mleta mada anayeota mchana
 
Sijaelewa kwahiyo Israel anashirikiana na Marekani kupigana vita na wanamganbo wa Hamas?
Meli za Marekani zipo karibu na Gaza kutoa vitisho kwa Hizbulah,Syria na Iran na kila siku wanaleta shehena mpya za silaha.Kuna mzigo ulikuwa uende Ukraine ukabadilishwa njia ili uende Israel
 
Labda karne nyingi zijajazo lakini si kesho, hii ibaki ndoto ya mleta mada anayeota mchana
Haiko mbali sana.Inaweza kuwa mimi na wewe tukawa ni marehemu lakini watoto wetu wataleta salamu.
 
Wao wanapanga hivi na Allah anapanga yake. Mara unasikia tetemeko la ardhi limewaondoa Isreal nusu milioni
 
Hujijui ulivyo Mpuuzi kwa kuandika utumbo kama huu
 
Afghan hakuna mafuta son mission ilikua kumuua sheikh bin laden na kuwaachia chaos raia wa afghan
 
Sikusema kila taifa litakalomshinda US litakuwa taifa kubwa lakini kwa Palestina ndivyo itakavyokuwa kwa sababu ni eneo tofauti lenye muhuri wa Uislamu.
Ndio mnavyodanganyana kwy vikundi vya kulia ganja
 
Haiko mbali sana.Inaweza kuwa mimi na wewe tukawa ni marehemu lakini watoto wetu wataleta salamu.
duh! Mungu atakuwa ameamua kuitia israel katika mikono ya maadui zake na marekani itakuwa si hii yenye nguvu itakuwa ya wahamiaji wa miaka hii wasio na nguvu
 
Mtu ana Amini akifa atapewa mabikira 72, unadhani atawaza nini cha maana
 
Afghan hakuna mafuta son mission ilikua kumuua sheikh bin laden na kuwaachia chaos raia wa afghan
Ilisaidia nini.Kuua mtu mmoja unasababisha vifo vya wamarekani mia kadhaa na kuporomosha uchumi mpaka Trump akaona isiwe tabu.
Bin Laden alikwishakufa zake zamani.Ikabidi US itengeneze sinema ili kuua sifa zake.
Kipi kimetokea baada ya kufa bin Laden kuna Yahya Sinwar na Muahmmed Deif na watakuja wengine.Kufanya dhulma kwa viumbe wa Mwenyezi Mungu ni biashara kichaa kabisa.
 
duh! Mungu atakuwa ameamua kuitia israel katika mikono ya maadui zake na marekani itakuwa si hii yenye nguvu itakuwa ya wahamiaji wa miaka hii wasio na nguvu
Ni kaa la moto anatka awaachie UN mara awaachie UAE na Saudia
Hawezi kutoka tena mpaka mwisho wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…