Timu kubwa huwa inafundiswa na Kocha mwenye Degree au Profesa. Inaachana na Makocha wenye Diploma.
Timu kubwa haifanyi mizengwe ya kusingizia wachezaji muhimu wa timu pinzani kuwa wana Covid -19 huku wakijisahaulisha kuwa nao watasafiri kwenda huko ugenini.