Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
- Thread starter
-
- #21
RAIS SAMIA anaongoza awamu ya NGAPI? Kuna awamu ya miaka minne then mitano? Hivi lojiki yangu inaeleweka? Ya 2026?Kwa mujibu wa katiba yetu na sheria za uchaguzi, Samia atagombea urais mwaka 2025, huo ndio utakuwa uchaguzi wake wa mwisho kugombea urais kwa mujibu wa katiba hii, kugombea tena 2030 kwa katiba hii hawezi, labda abadilishe katiba.
Hata hili jambo lililowekwa wazi kwenye katiba hulijui?
Hivi Magufuli angefariki desemba mwaka huu naye Samia akaapishwa kuwa Rais mpaka Oktoba mwakani angekuwa Rais wa Awamu ya ngapi?Kwa mujibu wa katiba yetu na sheria za uchaguzi, Samia atagombea urais mwaka 2025, huo ndio utakuwa uchaguzi wake wa mwisho kugombea urais kwa mujibu wa katiba hii, kugombea tena 2030 kwa katiba hii hawezi, labda abadilishe katiba.
Hata hili jambo lililowekwa wazi kwenye katiba hulijui?
🤔💭 📝Wajumbe, aliyekuwa Rais wa JMT Dk. John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021 hapo Mzena kisha Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo chake saa 5:57 usiku "akiwa ziarani Tanga".
Baada ya hapo aliyekuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alitawazwa kuwa Rais wa JMT. Katiba yetu inaelekeza kuwa Rais atakuwa madarakani kwa miaka 5 (si minne wala sita) na kama atataka kugombea tena kwa awamu ya pili na ya mwisho basi ataomba ridhaa kwa chama chake.
Katiba imeweka bayana kuwa Rais ataacha Urais kwa (1) kufariki
(2) Kuumwa na kushindwa kutekeleza majukumu yake na (3) kwa kujiuzulu. Katiba haisemi kwamba Rais akipatwa na hayo matatu let's say ndani ya miaka minne basi atakayemrithi atamalizia awamu yake (marehemu).
Naamini hii ndiyo maana uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umetambuliwa kama Awamu ya Sita na si ya Tano. Kama ni hivyo basi, tutakuwa hatujamtendea haki Rais Samia Suluhu Hassan endapo tutafanya uchaguzi Mkuu Oktoba mwakani Jumapili ya mwisho maana haitokidhi matakwa ya Katiba ya miaka mitano madarakani.
Kwa hiyo tuheshimu Katiba na haki ya Samia tufanye uchaguzi mwezi machi 2026 siku aliyoapishwa. Ova!
[emoji16][emoji16]Mwenzetu una kikatiba chako unachojisomea mwenyewe...?
Still angekua Raisi wa awamu ya Sita.Hivi Magufuli angefariki desemba mwaka huu naye Samia akaapishwa kuwa Rais mpaka Oktoba mwakani angekuwa Rais wa Awamu ya ngapi?
Nimecheka sana. Umemaliza. Eti Rais wa dharura anataka kutungiwa sheria afanane na Rais wa kuchaguliwa kwa ballot box. Haiwezekani.Mkuu umevamia fani. Waachie waliolipa ada na kukaa darasani wakaisoma constitutional law
Haieleweki mkuuu.RAIS SAMIA anaongoza awamu ya NGAPI? Kuna awamu ya miaka minne then mitano? Hivi lojiki yangu inaeleweka? Ya 2026?
Hujui Katiba inasemaje; kaa chini usipige kelele uache sheria ifuate mkondo wakeWajumbe, aliyekuwa Rais wa JMT Dk. John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021 hapo Mzena kisha Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo chake saa 5:57 usiku "akiwa ziarani Tanga".
Baada ya hapo aliyekuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alitawazwa kuwa Rais wa JMT. Katiba yetu inaelekeza kuwa Rais atakuwa madarakani kwa miaka 5 (si minne wala sita) na kama atataka kugombea tena kwa awamu ya pili na ya mwisho basi ataomba ridhaa kwa chama chake.
Katiba imeweka bayana kuwa Rais ataacha Urais kwa (1) kufariki
(2) Kuumwa na kushindwa kutekeleza majukumu yake na (3) kwa kujiuzulu. Katiba haisemi kwamba Rais akipatwa na hayo matatu let's say ndani ya miaka minne basi atakayemrithi atamalizia awamu yake (marehemu).
Naamini hii ndiyo maana uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umetambuliwa kama Awamu ya Sita na si ya Tano. Kama ni hivyo basi, tutakuwa hatujamtendea haki Rais Samia Suluhu Hassan endapo tutafanya uchaguzi Mkuu Oktoba mwakani Jumapili ya mwisho maana haitokidhi matakwa ya Katiba ya miaka mitano madarakani.
Kwa hiyo tuheshimu Katiba na haki ya Samia tufanye uchaguzi mwezi machi 2026 siku aliyoapishwa. Ova!
Awamu imeandikwa wapi kwenye katiba?RAIS SAMIA anaongoza awamu ya NGAPI? Kuna awamu ya miaka minne then mitano? Hivi lojiki yangu inaeleweka? Ya 2026?
Uchawa ukizidi utajiona wewe pekee ndiye mwenye busara nchini, hili ndilo tunashuhudia.Wajumbe, aliyekuwa Rais wa JMT Dk. John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021 hapo Mzena kisha Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo chake saa 5:57 usiku "akiwa ziarani Tanga".
Baada ya hapo aliyekuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alitawazwa kuwa Rais wa JMT. Katiba yetu inaelekeza kuwa Rais atakuwa madarakani kwa miaka 5 (si minne wala sita) na kama atataka kugombea tena kwa awamu ya pili na ya mwisho basi ataomba ridhaa kwa chama chake.
Katiba imeweka bayana kuwa Rais ataacha Urais kwa (1) kufariki
(2) Kuumwa na kushindwa kutekeleza majukumu yake na (3) kwa kujiuzulu. Katiba haisemi kwamba Rais akipatwa na hayo matatu let's say ndani ya miaka minne basi atakayemrithi atamalizia awamu yake (marehemu).
Naamini hii ndiyo maana uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umetambuliwa kama Awamu ya Sita na si ya Tano. Kama ni hivyo basi, tutakuwa hatujamtendea haki Rais Samia Suluhu Hassan endapo tutafanya uchaguzi Mkuu Oktoba mwakani Jumapili ya mwisho maana haitokidhi matakwa ya Katiba ya miaka mitano madarakani.
Kwa hiyo tuheshimu Katiba na haki ya Samia tufanye uchaguzi mwezi machi 2026 siku aliyoapishwa. Ova!
Awamu ni maneno ya kisiasa unaweza kutunga vyovyote, unaweza hata kusema awamu ya tano na nusu, si jambo la kisheria wala kikatiba.Hivi Magufuli angefariki desemba mwaka huu naye Samia akaapishwa kuwa Rais mpaka Oktoba mwakani angekuwa Rais wa Awamu ya ngapi?
RAIS SAMIA anaongoza awamu ya NGAPI? Kuna awamu ya miaka minne then mitano? Hivi lojiki yangu inaeleweka? Ya m
Kwa kukusaidia soma Katiba Sura ya Pili Ibara ya 40 Ibara ndogo ya 4 kuhusu Rais akiondoka madarakani kwa sababu zilizoelezwa katika Ibara ya 37 Ibara ndogo ya 5. Hizo bangi zako za awamu achana nazo. Hakuna maelezo yoyote kuhusu awamu yameelezwa katika Katiba.Wajumbe, aliyekuwa Rais wa JMT Dk. John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021 hapo Mzena kisha Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo chake saa 5:57 usiku "akiwa ziarani Tanga".
Baada ya hapo aliyekuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alitawazwa kuwa Rais wa JMT. Katiba yetu inaelekeza kuwa Rais atakuwa madarakani kwa miaka 5 (si minne wala sita) na kama atataka kugombea tena kwa awamu ya pili na ya mwisho basi ataomba ridhaa kwa chama chake.
Katiba imeweka bayana kuwa Rais ataacha Urais kwa (1) kufariki
(2) Kuumwa na kushindwa kutekeleza majukumu yake na (3) kwa kujiuzulu. Katiba haisemi kwamba Rais akipatwa na hayo matatu let's say ndani ya miaka minne basi atakayemrithi atamalizia awamu yake (marehemu).
Naamini hii ndiyo maana uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umetambuliwa kama Awamu ya Sita na si ya Tano. Kama ni hivyo basi, tutakuwa hatujamtendea haki Rais Samia Suluhu Hassan endapo tutafanya uchaguzi Mkuu Oktoba mwakani Jumapili ya mwisho maana haitokidhi matakwa ya Katiba ya miaka mitano madarakani.
Kwa hiyo tuheshimu Katiba na haki ya Samia tufanye uchaguzi mwezi machi 2026 siku aliyoapishwa. Ova!
Makamu wa rais hapigiwi kura na anaweza kuteuliwa siku yoyote, kumbuka makamu wa rais alipofariki nchi haikuingia kwenye uchaguzi bali aliteuliwa mwingine kushika nafasi yake.Urais wa Samia na Magufuli unaenda pamoja. Samia alikuwa ni backup wa Magufuli. Ndiyo maana alikuwa mgombea mwenza na kapigiwa kura kwenye uchaguzi wa rais kuwa makamu wa rais, ndiyo maana watu wanaosema Samia kawa rais bila kuchaguliwa hawana hoja.
Hivyo, kipindi ambacho Samia alichaguliwa kuwa makamu wa rais,na backup wa rais Magufuli atakayechukua urais Magufuli akifariki, kilianza 2020 na kinaisha 2025.
Hii dhana yako ni ndoto tu, uchaguzi utafanyika 2025.
Urais si mtu, urais ni taasisi.
Makamu wa Rais si lazima apigiwe kura, kwa sababu akifa Rais na Makamu wa Rais kuwa Rais, hatuhitaji uchaguzi mwingine kumpata Makamu wa Rais mwingine (kama ilivyokuwa kwa Philip Mpango), lakini, ukisema Makamu wa Rais hapigiwi kura unakosea.Makamu wa rais hapigiwi kura na anaweza kuteuliwa siku yoyote, kumbuka makamu wa rais alipofariki nchi haikuingia kwenye uchaguzi bali aliteuliwa mwingine kushika nafasi yake.
Achana na upindishaji wa katiba unaofanywa na CCM.
Post namba 33 nimemuwekea vifungu hivyo ajifunze katiba na abishe kwa kuweka vifungu vya katiba, si kwa kubwabwaja tu.Kwa kukusaidia soma Katiba Sura ya Pili Ibara ya 40 Ibara ndogo ya 4 kuhusu Rais akiondoka madarakani kwa sababu zilizoelezwa katika Ibara ya 37 Ibara ndogo ya 5. Hizo bangi zako za awamu achana nazo. Hakuna maelezo yoyote kuhusu awamu yameelezwa katika Katiba.
Sasa tutafanyejeMkuu kwa nini twende mzobe mzobe kubaka Katiba?
Unapoweka madai ya "kubaka katiba", weka kifungu cha katiba na eleza kinabakwa vipi.Mkuu kwa nini twende mzobe mzobe kubaka Katiba?