Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Aaah, kama kawaida yetu.Kiranga ,Huo mlolongo uloweka Si Bure,
Magu to Samia
Samia to Mpango,
Mpango to konda,
Konda to Saba ya.
KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi ni muhimu mno.
Tunaacha hoja na kushikilia mfano š¤£š¤£š¤£.
Point yangu ni kwamba, usipokuwa na miaka fixed ya uchaguzi, unaweza kwenda miaka 100 bila uchaguzi.