Tuheshimu Katiba. Uchaguzi Mkuu ufanyike 2026

Mkuu kwa nini twende mzobe mzobe kubaka Katiba?
Makamu wa rais hapigiwi kura na anaweza kuteuliwa siku yoyote, kumbuka makamu wa rais alipofariki nchi haikuingia kwenye uchaguzi bali aliteuliwa mwingine kushika nafasi yake.
Achana na upindishaji wa katiba unaofanywa na CCM.
Makamu wa Rais anachaguliwa na wananchi au anateuliwa na kuthibitishwa na Bunge. Soma ibara hizi za katiba ya JMT 47(2) na 50(4).
 
RAIS SAMIA anaongoza awamu ya NGAPI? Kuna awamu ya miaka minne then mitano? Hivi lojiki yangu inaeleweka? Ya 2026?
Kwanza sioni uchaguzi ukifanyika endapo serikali na ccm yake wanaendelea kuweka pamba masikioni kuhusu mambo ya msingi yanayoibuliwa na wananchi kuhusu uchaguzi,

Anaweza kuachwa hata iyo 2027 ili hali watu waende kwenye uchaguzi wa kuwapata viongozi wao kwa kura halali na sio wiziwizi
 
Kwa kuangalia uzi huu, Watanzania wengi kama mtoa mada hawaelewi dhana ya "ticket".

Wanapiga kura kwa mtu, hawapigi kura kwa "ticket".
 
Samia aligombea Uwenza ili hatimaye aje kuwa Makamu wa Rais si Rais. Samia hamalizii Awamu ya Jiwe mbona hamuelewi? Kwa nini ni AWAMU YA SITA? JPM alitawala awamu ya ngapi?
Leta kifungu cha Katiba kinachoongelea namna ya kuhesabu awamu. Kisha tuendelee na mjadala
 

Nyie ndio mnasababisha bangi inapigwa marufuku kwa huu utoto wenu.
 
Eti nawewe unajiita msomi , waachien walio soma sheria jaman sio kila kitu ni cha kila mtu
 
Umeeleza vizuri isipokua hapo kwenye mfano wa Jumbe.
Wakati Jumbe anakua Rais wa Zanzibar 1972, Zanzibar haikua na katiba wala Uchaguzi mkuu.

Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa Zanzibar ulifanyika 1980.
 
Kwahiyo Kwa comment Yako, sa100 ni Awamu ya Tano kipindi Cha pili.
 
Katiba inahusu rais wa kuchaguliwa siyo wa kufiwa. Rais wa bahati mbaya huwa anamalizia kipindi kilichobaki hata kama ni masaa yamebaki nchi haiwezi kuwa bila rais. Sasa rais akifa imebaki mwezi mmoja anayemalizia akae miaka 5?
Wewe chawa mgonjwa kichwani.
 
Tatizo la kuvamia fani za watu. Ndugu yangu waachie wenye uwezo wa kusoma, kuelewa na kutafasili kilichoandikwa ndani ya katiba. Usiendelee kujidhalilisha.
 
Kiranga ,Huo mlolongo uloweka Si Bure,

Magu to Samia

Samia to Mpango,

Mpango to konda,

Konda to Saba ya.


KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi ni muhimu mno.
 
Umeeleza vizuri isipokua hapo kwenye mfano wa Jumbe.
Wakati Jumbe anakua Rais wa Zanzibar 1972, Zanzibar haikua na katiba wala Uchaguzi mkuu.

Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa Zanzibar ulifanyika 1980.
Katiba zinajengwa kwenye kanuni za logic, hazitokei tu out of thin air.

Kwa hivyo, hata pale pasipo na katiba, kuna logic fulani inatumika kuamua uchaguzi wa rais uwe mwaka gani.

Hapo umeongezea nguvu point ya uchaguzi kufanyika kwenye miaka fixed.

Kwamba, hata pale pasipo na katiba, watu waliona umuhimu wa kuwa na miaka fixed ya uchaguzi, si kuamua uchaguzi kwa kuangalia urais wa mtu unaanzia wapi.

Hapa naona tatizo la siasa za Africa kuangalia watu badala ya sera na mfumo.

Kuna watu wanapenda sana siasa za kuangalia watu, badala ya kuangalia mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…