Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Mar 8, 2024 #81 Rabbon said: Kiranga ,Huo mlolongo uloweka Si Bure, Magu to Samia Samia to Mpango, Mpango to konda, Konda to Saba ya. KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi ni muhimu mno. Click to expand... Aaah, kama kawaida yetu. Tunaacha hoja na kushikilia mfano 🤣🤣🤣. Point yangu ni kwamba, usipokuwa na miaka fixed ya uchaguzi, unaweza kwenda miaka 100 bila uchaguzi.
Rabbon said: Kiranga ,Huo mlolongo uloweka Si Bure, Magu to Samia Samia to Mpango, Mpango to konda, Konda to Saba ya. KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi ni muhimu mno. Click to expand... Aaah, kama kawaida yetu. Tunaacha hoja na kushikilia mfano 🤣🤣🤣. Point yangu ni kwamba, usipokuwa na miaka fixed ya uchaguzi, unaweza kwenda miaka 100 bila uchaguzi.
JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 Mar 8, 2024 #82 Desprospero said: Huwezi kujificha, kosa la maudhui yanakuhusu. Kama hujui mabadiliko ya sheria ya mtandao hili unalo hata uwe Mbinguni tutakufikia ueleze maudhui Yako. Mwenzio aliyetumia ghost account humu Leo yuko Keko. Hauko salama udhaiavyo. Click to expand... Kwani wewe umeelewa Nini hapo!?
Desprospero said: Huwezi kujificha, kosa la maudhui yanakuhusu. Kama hujui mabadiliko ya sheria ya mtandao hili unalo hata uwe Mbinguni tutakufikia ueleze maudhui Yako. Mwenzio aliyetumia ghost account humu Leo yuko Keko. Hauko salama udhaiavyo. Click to expand... Kwani wewe umeelewa Nini hapo!?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 9, 2024 #83 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
kirengased JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 6,348 Reaction score 7,058 Mar 9, 2024 #84 Unataka nawewe uwe umegundua kakitu😂😂 tatizo maarifa madogo na elimu duni huwezi toboa eroo... we kaa kutulia.
Unataka nawewe uwe umegundua kakitu😂😂 tatizo maarifa madogo na elimu duni huwezi toboa eroo... we kaa kutulia.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Mar 9, 2024 #85 Sexless said: Mkuu umevamia fani. Waachie waliolipa ada na kukaa darasani wakaisoma constitutional law Click to expand... Hakika
Sexless said: Mkuu umevamia fani. Waachie waliolipa ada na kukaa darasani wakaisoma constitutional law Click to expand... Hakika