Wenje ni kibaraka wa Kenge....na ndio link kwa Abdul ......KM hamuwezi kumuadabishaaaa Wenje kamwe hata hizo kamati maadili hawawezi labda baadae sana huko bwana yule na mipesa hongo ikiiishaa.....yeye kutoka hapoooWenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA.
Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul na mama yake kujenga misingi ya kuipasua CHADEMA. Hatua ya awali kupokea na kugawa pesa zinazodaiwa ni za rushwa kwenye chaguzi za chama, pili kusema uongo unaokituhumu chama na mifumo yake kuwa ni wabadhirifu
Tatu kwa kusema uongo dhidi ya chama
Je kwa katiba na kanuni za CHADEMA, Wenje anapaswa kuendelea kuwa mwanachama wake?
out of context, sasa hili linaingiaje hapa?Abdul na mama yake
Mkuu unamsimamo upi baada ya KM kutolea ufafanuzi je bado unaimani na mwenyekiti kuendelea kutetea nafasi yakeout of context, sasa hili linaingiaje hapa?
Upuuzi huo uko huko CCM tu.
Tusiyachukie haya kuyataja huku pesa zao tunachukia. Haya yote kayaleta Abdul na mama yake. Sema, je pesa za join the chain zinatumika alivyosema Wenje?out of context, sasa hili linaingiaje hapa?
Kama Abdul anamuamini kwa nini asichukuliwe serious?π€£Unamchukulia serious Wenje? ππ
Wanacheza script hao.Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA.
Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul na mama yake kujenga misingi ya kuipasua CHADEMA. Hatua ya awali kupokea na kugawa pesa zinazodaiwa ni za rushwa kwenye chaguzi za chama, pili kusema uongo unaokituhumu chama na mifumo yake kuwa ni wabadhirifu
Tatu kwa kusema uongo dhidi ya chama
Je kwa katiba na kanuni za CHADEMA, Wenje anapaswa kuendelea kuwa mwanachama wake?
Subiri uchaguzi upite maana tayari tumeshaambiwa yeye ni PROJECT...Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA.
Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul na mama yake kujenga misingi ya kuipasua CHADEMA. Hatua ya awali kupokea na kugawa pesa zinazodaiwa ni za rushwa kwenye chaguzi za chama, pili kusema uongo unaokituhumu chama na mifumo yake kuwa ni wabadhirifu
Tatu kwa kusema uongo dhidi ya chama
Je kwa katiba na kanuni za CHADEMA, Wenje anapaswa kuendelea kuwa mwanachama wake?
Uwe unatumia akili ata kidogo basi mkuu hapa kaletwa wenje na katibu mkuu mnyika wewe unawaleta lisu na lema kwe uzi huu au wewe ndio wenje mwenyewe?
Unadhani Dulla anamwamini Wenje?πΌKama Abdul anamuamini kwa nini asichukuliwe serious?π€£
Kasoma Butimba na mkuu wake wa Chuo ni mama Kabaka aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT taifa πAllegations alizotoa ni futuhi kwani?