Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA.

Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul na mama yake kujenga misingi ya kuipasua CHADEMA. Hatua ya awali kupokea na kugawa pesa zinazodaiwa ni za rushwa kwenye chaguzi za chama, pili kusema uongo unaokituhumu chama na mifumo yake kuwa ni wabadhirifu
Tatu kwa kusema uongo dhidi ya chama

Je kwa katiba na kanuni za CHADEMA, Wenje anapaswa kuendelea kuwa mwanachama wake?
 
Wenje ni kibaraka wa Kenge....na ndio link kwa Abdul ......KM hamuwezi kumuadabishaaaa Wenje kamwe hata hizo kamati maadili hawawezi labda baadae sana huko bwana yule na mipesa hongo ikiiishaa.....yeye kutoka hapooo
 
Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA.

Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul na mama yake kujenga misingi ya kuipasua CHADEMA. Hatua ya awali kupokea na kugawa pesa zinazodaiwa ni za rushwa kwenye chaguzi za chama, pili kusema uongo unaokituhumu chama na mifumo yake kuwa ni wabadhirifu
Tatu kwa kusema uongo dhidi ya chama

Je kwa katiba na kanuni za CHADEMA, Wenje anapaswa kuendelea kuwa mwanachama wake?
Wanacheza script hao.
 
Subiri uchaguzi upite maana tayari tumeshaambiwa yeye ni PROJECT...
 
Back
Top Bottom